Kwa kizazi cha Sasa. Ukishakuwa single mother tafuta tuu Pesa. Hakuna Mwanaume atakayehitaji single mother Maskini asiye na kazi

Kwa kizazi cha Sasa. Ukishakuwa single mother tafuta tuu Pesa. Hakuna Mwanaume atakayehitaji single mother Maskini asiye na kazi

Kule Mtwara wala hawajali hayo ya single maza wao hata ukiwa na watoto watano wanaowa.
 
Wahuni 16 mstari wa 2 mpaka 5.

Waacheni singo mamaz waje kwangu, maana mie ndio kimbilio lao, mie ndio bega lao la kuegemea na kifua cha kulilia.
 
Hata usukumani Mkuu.
Sijakaa huko, ni uwoga tuu wa kuwapa chakula watoto na ile buku ya kugawana mia mbili asibuhi ya shule basi. Maana hawaitaji kupelekwa shule za mabasi ya njano. Na watakuwa na adabu sbb wanajua yule siyo baba yetu mzazi. Zaidi bi mdashi atakuungi rosti pembeni kabla hajaongeza maji mchuzi wa watoto. Na watoto hawatalalamika hata siku moja.
 
Back
Top Bottom