Kwa kizazi cha Sasa. Ukishakuwa single mother tafuta tuu Pesa. Hakuna Mwanaume atakayehitaji single mother Maskini asiye na kazi

Kwa kizazi cha Sasa. Ukishakuwa single mother tafuta tuu Pesa. Hakuna Mwanaume atakayehitaji single mother Maskini asiye na kazi

Ila______ single mother wana utqmu wao special
To hire someone with experience is great issue 😉
Wanafaa kuw mke wa pili😋😋😋
Wako vizuri, huwa nawapenda 😅
 
Unakuta single mother ana watoto debe, kila mtoto ana baba yake naye anataka kuolewa. Nani atataka mzigo wote huo halafu mama yao hana shughuli maalumu ya kufanya? Single mama wanaotaka kuolewa ni wale wasio na mbele wala nyuma. Masingo mama yanaojiweza hulea watoto wao peke yao na huchagua wanaume wa kuwa nao kimapenzi hata kama ni kwa shoo fupi fupi
Huwa wako hivi siku zote.
 
Kuna exceptionals
Pisi kali
Mwenye naniliu tamu sana ya moto
Mwenye tako kubwa
Huku ndio kukosa akili kwenyewe sasa. Pisi kali ngapi unazozijua zimeweza kudumu kwenye Ndoa kwasababu ni pisi kali? Uzuri ni wa muda tu, eventually huwa unaanza kunyauka na kutoweka.

Na kwa usilojua ni kuwa mwanaume huwa anaweka kando hizo sifa ndani ya miezi kuanzia mitatu hadi sita anaanza sasa kutazama akili za mwanamke so akiwa kasha nani anataka upumbavu.

Uzuri una faida gani sasa kama mwanamke anakufuja?
 
Na hata hivyo kwa sasa wanawake wanapambana mno , vijana wamekua Marioo tu ndio maana utasikia kila kona sifa za mishangazi zikimwagwa🤔
Si jamiii na serikali wamepigia chapuo kwa muda mrefu mwanamke awe juu ya mwanaume,hayo ndio matokeo sasa wacha tuishi nayo. Shenzi type.
 
Wanakalia ûzuri. Ûzuri
Ûzuri gàni?

Waache wakalie ûzuri hawajui Siku hizi Wanawake weñye Vipato ndîo hupata Wanaume wa Maana wanaowahitaji.

Lakini Wanawake Fukara huishia kuongea Misemo ya kizamani katika ulimwengu wa kisasa
Wanawake wenye vipato hawapati wanaume wa maana kwasababu huwa ni mawindo ya marioo, machekibobu na wapenda utelezi Kwa sababu mwanaume wa maana haangalii kipato Cha mwanamke kwasababu anajua kabisa hakimuhusu
 
Unakuta single mother ana watoto debe, kila mtoto ana baba yake naye anataka kuolewa. Nani atataka mzigo wote huo halafu mama yao hana shughuli maalumu ya kufanya? Single mama wanaotaka kuolewa ni wale wasio na mbele wala nyuma. Masingo mama yanaojiweza hulea watoto wao peke yao na huchagua wanaume wa kuwa nao kimapenzi hata kama ni kwa shoo fupi fupi
Hatari! Haya single mamas mmesikia hiyo?
 
Wanawake wenye vipato hawapati wanaume wa maana kwasababu huwa ni mawindo ya marioo, machekibobu na wapenda utelezi Kwa sababu mwanaume wa maana haangalii kipato Cha mwanamke kwasababu anajua kabisa hakimuhusu
Tunaangalia uzuri wa mwanamke
 
Kweli mkuu jamii za watu wa wapwani wao sijui wapoje utakuta kijana wa miaka 26 anao Single mother, hii nimefanya uchunguzi ni kutokana na tamaduni zao utakuta Mama kaolewa mara 4 na ndo zote aliachika na ndoa ya tano ndiyo anayoishi nayo, na watoto kuni kila mtoto na Baba yake, tofauti na jamii za watu wa bara kukuta Mama ana watoto 8 na kila mtoto ana Baba yake ni ngumu kule tumeshazoea Baba anakua na watoto wengi kwa wake zake ba siyo Mama kua na watoto wengi kwa Wanaume tofauti.
 
single mother chapa tembea,
Sinlge mother wenye hela Ni fursa kwa vijana wapaka mkongo kuwakojozo!
Kijana epuka kuishi na mwanamke mwenye mtoto asiye wako,
Epuka kuwa na msichana aliye lelewa na single mother hutoboi, Hivi vitoto vya kike vya2000 vingi Ni uzao wa single mother na venyewe vinazaa hovyo.
 
Back
Top Bottom