Kwa kuliokoa Taifa letu la sasa lenye Vijana 'Nyoro Nyoro' wengi naomba Mafunzo ya JKT yawe ni ya Lazima

Ndio yale yale ya "mume"kumuomba "mke" perfume huko Dubai.
Vijana wengi wanapenda unyunyu na make up.
Mwanaume na make up???
 
Tuanze kwanza kupiga vita suala la ushoga ,matumizi ya dawa za kulevya,pombe kali kwa vijana wetu. Ukiwapeleka huko kwa lazima halafu ujumuishe mashoga,na watu waliounguza maini mbona watakufa mkuu
 
duh we jamaa kwahiyo hutaki wasukuma ukuta, hahaaaaaa aisee hili bandiko lako naona lina mashiko maana ukiangalia watu wenye akili timamu wote hawahusudu kabisa huu ukameruni, kama PUTIN etc
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…