Kwa kushindwa kwake, Freeman Mbowe anakosa fursa zifuatazo

Uongo .........walichoma bank miaka ile ............ili kuficha kashfa ya pesa walizoiba........unaweza kukataa kazi bank wewe labda kama ya kufagia
Benki kuu mshahara na posho zinaweza kuwa milioni 6 kwa mwezi sawa na Milioni 48 kwa mwaka, kiasi hicho cha pesa ni kidogo sana kwa watoto wa mabilionea wanaoweza kupata mitaji ya kuanzisha biashara zao.

Umaskini na njaa umefanya watanzania wengi waone kupata kazi benki umemaliza kila kitu kwenye maisha
 
Yeye ndiye aliyekuwa anafadhili CDM kwa fedha zake binafsi, hata huo mkutano uliomalizika ni fedha za Mbowe kuanzia ukumbe hadi chakula wewe unafikiri anashida na fedha za CHAMA au CHAMA kina shida na fedha za Mbowe?
 
HII THREAD INATHIBITISHA KUWA SISI WATANZANIA TUNA MENTALITY ZA KIWIZIWIZI NA KIFISADI, ET ATAKUWA HANA FURSA YA KUACCESS PESA ZINAZOINGIA NA KUTOKA YANI UNAZUNGUMZIA PESA TU. NON SENSE
 
Yeye ndiye aliyekuwa anafadhili CDM kwa fedha zake binafsi, hata huo mkutano uliomalizika ni fedha za Mbowe kuanzia ukumbe hadi chakula wewe unafikiri anashida na fedha za CHAMA au CHAMA kina shida na fedha za Mbowe?
Hiyo ndio weakness yake,chama kinatakiwa kijiendeshe kupitia michango,ruzuku na wafadhili wa ndani na nje
 
Sawa,hatimaye Mugabe kakubali kushindwa!
 
Eeh vitu vinakuja kwa pair....
Akipoteza kimoja anapata kingine...
 
Yule anaenda kushindana na Samia kwenye uraisi you will see
Chadema hawawezi muuza kwenye Urais huku kwenye chama wamempiga chini, pia ushawishi ni mdogo ukilinganisha na Lissu hata Heche labda.

Ni sawa pia kama Lissu angeshindwa, CCM wangetumia njia hiyo kumpiga kwamba hata chama hakijamwamini kuwa Mwenyekiti na Urais hafai.
 
Umeanza kumjua mbowe leo nini? Amekuwa bilionea akiwa na miaka 19 ,sasa sijui asali gani unayoizungumzia.

Mbowe nilimuona Manzese Operation Sangara Amepack VOGUE ya silva pembeni Mpya kabisa anafanya mkutano......Kwa kipindi hicho(2005) ni kama Autobiography ya 2024 ya Lugumi kwasasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…