Kwa kushindwa kwake, Freeman Mbowe anakosa fursa zifuatazo

Hela huwa haitoshi kijana k7na watu wana hela ila hawalali,wanaitamani hadi mia yako waichukue,Trump unamjua?
 

Sehemu za umma atakuwa kama raia wengine tu.

Kuramba asali na ruzuku kumeisha rasmi.

FaIda zake:
Huenda ukawa mwisho wa yeye kulala sero,gerezani .
Atapata muda wa kucheza na wajukuu na familia kwa ujumla
Biashara zake zitaimarika zaidi
Mawazo ya kibinafsi na kimaskini na mtoa mada umekulia kwenye fikra za kimaskini , umesoma lakini huna ukombozi wa Ki-fikra.
Diplomatic passport wanapewa viongozi wa vyama vya upinzani?
 
Kina Mbowe pesa wanazo wapo class ya matajiri lakini hata matajiri hutofautiana, Mbowe amewahi kumiliki Club Billicanas, Hakujawahi kutokea club hapa Tanzania iliyofikia level za Billicanas mpaka leo, hii ni moja tu ya investments zake
Maskini ndio nafikiri Mbowe sijui kuitwa au kutajwa kwenye media, kwani si anayo media yake, yeye anadhamini mkutano kwa zaidi ya milioni 300 yake alafu mtu maskini wa fikra anafikiri kimaskini, hii nchi inahitaji ukombozi, vijana wamejaa viroba kichwani.
 
Kina Mbowe pesa wanazo wapo class ya matajiri lakini hata matajiri hutofautiana, Mbowe amewahi kumiliki Club Billicanas, Hakujawahi kutokea club hapa Tanzania iliyofikia level za Billicanas mpaka leo, hii ni moja tu ya biashara zake
Sijakataa kwamba hawana hela au sio matajiri. Ninachokataa ni sifa za kupitiliza kana kwamba wao ndo matajiri wakubwa zaidi hapa TZ.
 
Cha muhimu akumbushwe hakuna kuhama chama.
 
Kisiasa bado FAM ananafasi nyingine kutegemeana tu na vipi anaweza kutumika,system inweza kumtumia,CCMinaweza kumtumia na CHADEMA inaweza kumtumia
 
Haishi Kwa hela za chama bali biashara anazofanya. Alishasema akishindwa ataendelea kuimarisha biashara zake. Kazi kwake kamanda TAL na comred John Heche, kila la heri.
 
Hizi story za kuwa Mbowe ni bonge la tajiri huwa wanaambiwa wajinga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…