Kwa kweli Bongo bado sana

Nakusapot hii nchii bado sana. Tuko nyuma mno. Na bora utulie hivyo usijaribu kuulizia habari za siasa zitakupa stress hatari. Bado ccm ipo tu wanapokezana tu
 
Mkuu,

Weka mapicha basi na wewe tuone Bongo ilivyochoka.

Mimi nilirudi hivyo hivyo nikashangaa barabara zina mashimo mpaka Oysterbay shuleni.

Bongo lile jua tu linapausha vitu, ukipaka rangi leo, miei sita pashanyauka.
 
Wabongo bana tukienda nje kidogo tu tunataka kila mtu ajue na ndio lengo la uzi wako tumeshajua

Mkiona bongo bahati mbaya rudini hukohuko diaspora

Msituletee show off za kijingajinga ushamba tu
Mzee endelea kula kimasihara na kuchakata mbususu...[emoji23][emoji23]

Maana ndio sifa ya mtanzania.
 
Ww itakuwa Chadema unalaumu tu bila ya kuja na solution.
Mliowapa dhamana wamekosa solution ? Je solution walizopewa na wakosoaji wa ndani wamezifanyia kazi ? Kwann wanawateka wakosoaji? Je unaweza thibitisha kuwa mleta mada hajaleta solution?
 
Wazungu choka mbaya nao wamekuja kudanga huku kwa wadada na wakaka masikini wale kitu cha moto nachuro sio wale kitimoto wenzao wanaowakimbia huko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…