Chief Wingia
JF-Expert Member
- Jul 12, 2013
- 2,653
- 4,744
Wewe jamaa mbona ni mlalamishi sana unatokea nje nchi gani na umekuja na kitu gani cha kujivunia hapa nyumbani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Natafuta connection hapa [emoji1787]Umekuja na fursa gani mkuu? Naomba kibarua.
Nakusapot hii nchii bado sana. Tuko nyuma mno. Na bora utulie hivyo usijaribu kuulizia habari za siasa zitakupa stress hatari. Bado ccm ipo tu wanapokezana tuBaada ya kukaa nje ya nchi bila kutembelea nyumbani kwa takbirani miaka 10, juzi nimetua bongo kwa matarajio mengi ya kuona yake mapichapicha ya mitandaoni, lakini nilichokikuta ni hakina tofauti yeyote kuonyesha miji wa Dar es Salaam kuwa umejengeka
Kwanza nimechoshwa na uwingi wa watu bila mpangilio, yaani watu wapowapo tu wamekaa na kusimama kila sehemu ya Mji bila shughuli, hata kama baadhi ya barabara zimejengwa lakini watu wakaakaa pembezoni na kazi Yao kuvuka upande huu na ule wa barabara kutwa nzima na wachuuzi wametanda barabara nzima mpaka barabara zinakosa mvuto.
Ile mitaa ilikuwaga ya utulivu na kishua sio tena hivyo ni makelele ya bodaboda na wapiga debe usiku kucha.
Katikakati mjini uhindini kila nyumba imegeuzwa restaurant viti vimejaa maeneo ya watembea kwa mguu.
Halafu pia mji umejaa wazungu choka mbaya sijui wanatokea nchi gani?
Yaani nimesikitishwa na nimetapeliwa na mapicha ya mtandaoni
Kwa kweli Bongo bado sana na Tena sana.
Povu ruksa!
Natafuta connection hapa [emoji1787]
Wazungu koko hao.Hahaha wazungu choka mbaya.
Mkuu hao wamejaa kigamboni huku sijui hata wanatoka nchi gani.
Wengine wamepanga kabisa mtaani huku asubuhi tunakutana nao kwenye mihogo.
Mkuu,Baada ya kukaa nje ya nchi bila kutembelea nyumbani kwa takbirani miaka 10, juzi nimetua bongo kwa matarajio mengi ya kuona yake mapichapicha ya mitandaoni, lakini nilichokikuta ni hakina tofauti yeyote kuonyesha miji wa Dar es Salaam kuwa umejengeka
Kwanza nimechoshwa na uwingi wa watu bila mpangilio, yaani watu wapowapo tu wamekaa na kusimama kila sehemu ya Mji bila shughuli, hata kama baadhi ya barabara zimejengwa lakini watu wakaakaa pembezoni na kazi Yao kuvuka upande huu na ule wa barabara kutwa nzima na wachuuzi wametanda barabara nzima mpaka barabara zinakosa mvuto.
Ile mitaa ilikuwaga ya utulivu na kishua sio tena hivyo ni makelele ya bodaboda na wapiga debe usiku kucha.
Katikakati mjini uhindini kila nyumba imegeuzwa restaurant viti vimejaa maeneo ya watembea kwa mguu.
Halafu pia mji umejaa wazungu choka mbaya sijui wanatokea nchi gani?
Yaani nimesikitishwa na nimetapeliwa na mapicha ya mtandaoni
Kwa kweli Bongo bado sana na Tena sana.
Povu ruksa!
Amekataa Bongo ilivyo sio sisi...[emoji23]Ametukataa mkuu, back to square one.
Mzee endelea kula kimasihara na kuchakata mbususu...[emoji23][emoji23]Wabongo bana tukienda nje kidogo tu tunataka kila mtu ajue na ndio lengo la uzi wako tumeshajua
Mkiona bongo bahati mbaya rudini hukohuko diaspora
Msituletee show off za kijingajinga ushamba tu
Mliowapa dhamana wamekosa solution ? Je solution walizopewa na wakosoaji wa ndani wamezifanyia kazi ? Kwann wanawateka wakosoaji? Je unaweza thibitisha kuwa mleta mada hajaleta solution?Ww itakuwa Chadema unalaumu tu bila ya kuja na solution.
Kwann China kwa leo inawazid hao unaowasujudu?Tatizo lako una fananisha bongo na Huko uliko toka.
Fananisha Tanzania ya miaka kumi ilio pita na hii ya Leo. Hapa ndo ulete maoni yako
Hizo ndio starehe zetu, mkuu haujaja na demu wa kizungu maana fantasy yangu nigonge manzi wa mambele huko mtashaMzee endelea kula kimasihara na kuchakata mbususu...[emoji23][emoji23]
Maana ndio sifa ya mtanzania.
Wazungu choka mbaya nao wamekuja kudanga huku kwa wadada na wakaka masikini wale kitu cha moto nachuro sio wale kitimoto wenzao wanaowakimbia hukoBaada ya kukaa nje ya nchi bila kutembelea nyumbani kwa takbirani miaka 10, juzi nimetua bongo kwa matarajio mengi ya kuona yake mapichapicha ya mitandaoni, lakini nilichokikuta ni hakina tofauti yeyote kuonyesha miji wa Dar es Salaam kuwa umejengeka