Yaani awe na akili kumshinda Seran? Ndama ni mtoto wa Ng'ombe.Haiwezekani! Wanu awe na akili mbofu hivi😝
Kumbe ningekujua huku mapema ningepata chochote kitu😎humu mwanzo walikuwepo karibu wote wakubwa
Natafuta nafasi moja TransDar.hahahaha,anakuletea dharau uliyempa kazi,..kuna dogo mmoja alinifuata ana kazi ,nikampeleka kampuni moja ya waturuki wanajenga viwanja vya afcon, kapata hela anasema mie nabania watu kupata kazi
Ndio hivyo kwenye mambo serious wengine hatuna mzaha, achana na ujinga wa jfni kweli sio wote ila wajinga wajinga wengi
uwe mwaminifu na muadilifuKumbe ningekujua huku mapema ningepata chochote kitu😎
Sasa pale wamenifananisha naye nikahisi ananizidi akili, kumbe nmefanana naye akili🙆🏽♀️Yaani awe na akili kumshinda Seran? Ndama ni mtoto wa Ng'ombe.
Si ndiouwe mwaminifu na muadilifu
wewe sidhani kama unavyohivyoSi ndio
Inawezekana ndiyo decision maker hukoImagine humu Kuna wana member walitabiri ya magu na kuanzisha nyuzi kuhusiana na yatakayotokea ,na kweli Sasa imebaki stories...
La zaidi ni hili la recently kuhusiana na kujiuzulu kwa nchimbi.....
Kuna watu humu aisee wanaona mbali sana .
Threads zao au comments zao kuhusiana na kutabiri kwamba nchimbi hatatoboa. ukizisoma zipo kama ramli zisizokuwa na mashiko ila Leo tunauishi ukweli wa waliyokuwa wakiyaleta humu...
Noma sana .
NB:ndio maana makachero wa Miss wamefanya kijiwe chao cha kudumu humu. 🫵🫵😎
Sio kweli hata kidogo. Nyuma ya maandiko yako kuna kitu kikubwa sana nakiona, huwezi fananisha na upuuzi.Sasa pale wamenifananisha naye nikahisi ananizidi akili, kumbe nmefanana naye akili🙆🏽♀️
udereva sio ?Natafuta nafasi moja TransDar.
Hata kwenye tiketi.udereva sio ?
Sawa ccy limeisha hiloWabheja sana! Siku moja moja unatusabahi jamaa yangu! Usikae kimya hivyo!
ooh sawaHata kwenye tiketi.
Kwa sababu zipi?wewe sidhani kama unavyohivyo
Hebu ngoja, maandiko yangu yapi?🙆🏽♀Sio kweli hata kidogo. Nyuma ya maandiko yako kuna kitu kikubwa sana nakiona, huwezi fananisha na upuuzi.
Transdar ndio nini?Natafuta nafasi moja TransDar.