MzukuluJf naipenda sana unaweza kubishana na kuchimbana biti na kikwete au seleman mombo au cdf au IGP na asikufanye kitu!
Hata ngumi unampiga kabisa na jino linamtoka,
Kumbe wewe ni kitoto cha elfu mbili
Kuna issues nyingi kwenye kupeana chances.Sio wote wakuu, kuweni na huruma na jobless!
tumia device yako vzr ,na bando hilo jaribu ku google transdar nini ili ujueTransdar ndio nini?
umejibu vzr mno ,hapo kwenye uwajibikaji, unampeleka mtu sehemu apate ajira, baada ya muda ana kua kiburi kwa wenzie kisa ulimpeleka wewe kwa boss na vile boss anakuheshimu ana mpa kijana kazi baada anakua mvivu ,anajua haguswi kisa ulimpelekaKuna issues nyingi kwenye kupeana chances.
●Uaminifu, wengi ni sifuri kabisa. Kumbuka mtu kutoa dhamana ila unakuta kijana sio mwaminifu.
●Uwajibikaji, wengi ni wavivu, wanataka pesa ila kazi hawataki kifanya.
Ndio maana wenye nafasi za kusaidia wanasita sana.
Ni kweli kabisa lakini mimi sipo hilo kundi boss babu😎Kuna issues nyingi kwenye kupeana chances.
●Uaminifu, wengi ni sifuri kabisa. Kumbuka mtu kutoa dhamana ila unakuta kijana sio mwaminifu.
●Uwajibikaji, wengi ni wavivu, wanataka pesa ila kazi hawataki kifanya.
Ndio maana wenye nafasi za kusaidia wanasita sana.
Sawaatumia device yako vzr ,na bando hilo jaribu ku google transdar nini ili ujue
Kuna watu humu aisee wanaona mbali sana .
Duhh kasheshe!!umejibu vzr mno ,hapo kwenye uwajibikaji, unampeleka mtu sehemu apate ajira, baada ya muda ana kua kiburi kwa wenzie kisa ulimpeleka wewe kwa boss na vile boss anakuheshimu ana mpa kijana kazi baada anakua mvivu ,anajua haguswi kisa ulimpeleka
Nakuja PM tuyajenge,Best nazingatia sema ni vile wewe unajifanya huelewi.....
Ikiwa ni mstaafu kweli nitavumilia michambo ya kizungu na kiswahili ili mradi nizeekee pazuri
Kampuni ya Usafiri ya Kituruki, Imepewa Lot 3(Gongolamboto).Transdar ndio nini?
Sawa sawa, Shukran!Kampuni ya Usafiri ya Kituruki, Imepewa Lot 3(Gongolamboto).
naaandika haya kwa uzoefuDuhh kasheshe!!
hahahahahahaBest nazingatia sema ni vile wewe unajifanya huelewi.....
Ikiwa ni mstaafu kweli nitavumilia michambo ya kizungu na kiswahili ili mradi nizeekee pazuri
Hahahabaha mkuu. Haya bana hii ndo fact mojawapo.Humu JF kaa kwa umakini. Mtu anaweza akasema Nchimbi yuko mbioni kujiuzulu kumbe anayesema hivyo ni Nchimbi mwenyewe.
Mimi kapuku tu, nimeongea wanayokutana nayo wnaotow connection 😆Ni kweli kabisa lakini mimi sipo hilo kundi boss babu😎
sawa sawa,naona waturuki nao wanachukua fursaKampuni ya Usafiri ya Kituruki, Imepewa Lot 3(Gongolamboto).
Ooh pole sananaaandika haya kwa uzoefu
Wapii we unakimbia kusaidia vijana tusio na ajira😂Mimi kapuku tu, nimeongea wanayokutana nayo wnaotow connection 😆
Harusi huko huko tutafungia beach kama wazungu kwenyemovie,,, fanya nitafutie makaratasi nitoke huku uswahilini