Kwa mambo ambayo nayajua huku jikoni, hata reform na katiba Mpya vipatikane bado nisingethubutu kupiga kura

Mama Ametufikia

JF-Expert Member
Joined
Jul 17, 2024
Posts
535
Reaction score
1,395
Huwa nikiwaangalia Watanzania unabaki kucheka , kwakuwa wanaamini Tanzania kuna wanasiasa wa kuwapambania dhidi ya umasikini wao jibu ni hapana.

Vyama vyote vinafanya Kazi chini ya watu wale wale wa Ccm.

Ndo maana mwaka 2015-2020 Magufuli alivyo noticed huo ujinga alipanic na akatamani avifute na kuchukua hizo brains kutoka upinzani.

Wapo wanasiasa wakubwa wa Vyama vya upinzani ni tithiiiii Ila they act like the really Wapinzan. , that's bullshit.

I feel so sorry kuwaona Vijana Kama Mdude , Soka , and etc wanakuwa kidnapped , n.k huku wakiamini wanaipambania Chadema

Kule Arusha na sehemu nyinginezo vijana walikufa , kuuliwa na kuteswa hii haikuwa sawa kabisa.

Sasa the only hope waliyobaki nayo ni kufurahia VIFO vya watu wasiowapenda.

Lissu hivi karibuni , he noticed kuwa waliomshambulia hawakuwa wale anaowajua , bali walikuwa watu waliomuweka ndani , nasikitika amegundua hili akiwa maechelewa.

Sio CHADEMA wala Ccm , wote hawa viongozi wao they are living luxury life , wanapewa PESA za Serikali na kodi zetu kula bata.

Ni Ujinga kiwango Cha SGR kuamini kuwa upo tayari kufa kwa ajili ya Ccm au chadema.

Najua hapa JF wapo watu wameajiriwa Jikoni wanaelewa kuwa kuwa TAL alikuwa anafanya Kazi na ...........since 2016 na kuishtaki Serikali ya JPM.

Na kushambuliwa kwake, kulifanywa na watu walewale waliokuwa wanampa taarifa za siri , walilenga kumuua ili waichafue Serikali ya JPM completely.

Ndo maana recently TAL ameugundua ukweli .
 
Pumbavu masikini uliyekata tamaa kufa huna faida duniani
 
1756094533615.png
 
Mrema, Lipumba, Cheyo, Zitto, Mbowe, Lissu (WA 2022 na kurudi nyuma), NK ni wale wale isipokuwa majina Yao na umri....wote wapo kwenye payroll ya CCM ila evolution is really sasa upepo umeanza kubadirika!
Asante Sana mleta Mada!
 
✊🏿
 
Huwa nikiwaangalia Watanzania unabaki kucheka , kwakuwa wanaamini Tanzania kuna wanasiasa wa kuwapambania dhidi ya umasikini wao jibu ni hapana.

Vyama vyote vinafanya Kazi chini ya watu wale wale wa Ccm.

Ndo maana mwaka 2015-2020 Magufuli alivyo noticed huo ujinga alipanic na akatamani avifute na kuchukua hizo brains kutoka upinzani.

Wapo wanasiasa wakubwa wa Vyama vya upinzani ni tithiiiii Ila they act like the really Wapinzan. , that's bullshit.

I feel so sorry kuwaona Vijana Kama Mdude , Soka , and etc wanakuwa kidnapped , n.k huku wakiamini wanaipambania Chadema

Kule Arusha na sehemu nyinginezo vijana walikufa , kuuliwa na kuteswa hii haikuwa sawa kabisa.

Sasa the only hope waliyobaki nayo ni kufurahia VIFO vya watu wasiowapenda.

Lissu hivi karibuni , he noticed kuwa waliomshambulia hawakuwa wale anaowajua , bali walikuwa watu waliomuweka ndani , nasikitika amegundua hili akiwa maechelewa.

Sio CHADEMA wala Ccm , wote hawa viongozi wao they are living luxury life , wanapewa PESA za Serikali na kodi zetu kula bata.

Ni Ujinga kiwango Cha SGR kuamini kuwa upo tayari kufa kwa ajili ya Ccm au chadema.

Najua hapa JF wapo watu wameajiriwa Jikoni wanaelewa kuwa kuwa TAL alikuwa anafanya Kazi na ...........since 2016 na kuishtaki Serikali ya JPM.

Na kushambuliwa kwake, kulifanywa na watu walewale waliokuwa wanampa taarifa za siri , walilenga kumuua ili waichafue Serikali ya JPM completely.

Ndo maana recently TAL ameugundua ukweli .
Umeandika kama unaongea kwa kuchanganyikiwa.Hueleweki.
 
Ume

Hoja uliyomalizia Ina shaka kwani Magufuli angewatafuta hao ili asiendelee kuchafuka.
 
Mbona husemi baada ya Lissu kugundua Viongozi waliokwepo CDM ni mamluki na kuanza kupambana nao ndiyo wakaelekea zao CHAUMMA wengine kurudi CCM

Sawa ila lengo la Uzi ni kuwapa tahadhari vijana ambao , wamekuwa wakitumia na Wapinzani fake .

Najua TAL IPO siku ataongea ukweli na watu watajua kuwa nani alikuwa ikiua watu, kuteka , na aliyemshambulia riasasi.
 
Hilo la kushambuliwa na risasi mbona alisema kwamba ni watu wa Serikali ya awamu ya 5

Ndiyo maana kuna mtu alimwambia Siku mbili nyuma kabla ya tukio lake
 
Lengo lako ni kujaribu kupunguza misimamo dhidi ya upinzani

Aliyekuruma mwambie aache ushamba
 
Back
Top Bottom