Kwa mambo ambayo nayajua huku jikoni, hata reform na katiba Mpya vipatikane bado nisingethubutu kupiga kura

Lissu hivi karibuni , he noticed kuwa waliomshambulia hawakuwa wale anaowajua , bali walikuwa watu waliomuweka ndani , nasikitika amegundua hili akiwa maechelewa.

Sio CHADEMA wala Ccm , wote hawa viongozi wao they are living luxury life , wanapewa PESA za Serikali na kodi zetu kula bata.

Ni Ujinga kiwango Cha SGR kuamini kuwa upo tayari kufa kwa ajili ya Ccm au chadema.

Najua hapa JF wapo watu wameajiriwa Jikoni wanaelewa kuwa kuwa TAL alikuwa anafanya Kazi na ...........since 2016 na kuishtaki Serikali ya JPM.

Na kushambuliwa kwake, kulifanywa na watu walewale waliokuwa wanampa taarifa za siri , walilenga kumuua ili waichafue Serikali ya JPM completely.

Ndo maana recently TAL ameugundua ukweli
These are serious allegations, Sir! The last but one paragraph has confused!!!
 
Ni hivi ....
Ulitegemea Kigaila na Yeriko wahamie CHAUMA? Ulitegemea Ndugu Aikaeli hawe kwenye Kona aliyopo kipindi hiki?
Watu wanalipiwa mahali na wanawasema waliowalipia kigelesha!!!

Ukiambiwa changanya haraka...!
 
Nasema hivi, njooni na dhana mnazotaka, ila kwenye shambulio la Lisu ni dhalumu magu fullstop.
 
Sawa ila lengo la Uzi ni kuwapa tahadhari vijana ambao , wamekuwa wakitumia na Wapinzani fake .

Najua TAL IPO siku ataongea ukweli na watu watajua kuwa nani alikuwa ikiua watu, kuteka , na aliyemshambulia riasasi.

..TAL hawezi kuwajua wauwaji halafu akawastahi.
 
Unajitahidi kitengeneza propaganda zinazofaninia ukweli.....kaipange tena,TL ndio rais atakayewapambania WA Tanganyika. Hana damu ya kizimkazi
 
Siasa ni mchezo wa watu wenye akili...Mtoa mada watu kukuelewa ni vigumu...kuna watu wanaingia kwenye huo mchezo kwa kufuata mkumbo au kwa kumuamini mtu fulani hao nawahurumia sana..Kiufupi kwasasa.. Kataa siasa,,Siasa ni utapeli wa kifikra.
 
Mimi siongei mengi najua wanye akili wamenielewa
Kwaio hapo umejiona una akili kumanyoko. Wewe si leo asubuh ulikua unamsifia mumeo dogo janja wa huko mashenzini....imekuaje tena na bandiko LAKO hili la kinafiki na la kizushi ...manyoko na ccm yenu
 
Huwa nikiwaangalia Watanzania unabaki kucheka , kwakuwa wanaamini Tanzania kuna wanasiasa wa kuwapambania dhidi ya umasikini wao jibu ni hapana.

Vyama vyote vinafanya Kazi chini ya watu wale wale wa Ccm.

Ndo maana mwaka 2015-2020 Magufuli alivyo noticed huo ujinga alipanic na akatamani avifute na kuchukua hizo brains kutoka upinzani.

Wapo wanasiasa wakubwa wa Vyama vya upinzani ni tithiiiii Ila they act like the really Wapinzan. , that's bullshit.

I feel so sorry kuwaona Vijana Kama Mdude , Soka , and etc wanakuwa kidnapped , n.k huku wakiamini wanaipambania Chadema

Kule Arusha na sehemu nyinginezo vijana walikufa , kuuliwa na kuteswa hii haikuwa sawa kabisa.

Sasa the only hope waliyobaki nayo ni kufurahia VIFO vya watu wasiowapenda.

Lissu hivi karibuni , he noticed kuwa waliomshambulia hawakuwa wale anaowajua , bali walikuwa watu waliomuweka ndani , nasikitika amegundua hili akiwa maechelewa.

Sio CHADEMA wala Ccm , wote hawa viongozi wao they are living luxury life , wanapewa PESA za Serikali na kodi zetu kula bata.

Ni Ujinga kiwango Cha SGR kuamini kuwa upo tayari kufa kwa ajili ya Ccm au chadema.

Najua hapa JF wapo watu wameajiriwa Jikoni wanaelewa kuwa kuwa TAL alikuwa anafanya Kazi na ...........since 2016 na kuishtaki Serikali ya JPM.

Na kushambuliwa kwake, kulifanywa na watu walewale waliokuwa wanampa taarifa za siri , walilenga kumuua ili waichafue Serikali ya JPM completely.

Ndo maana recently TAL ameugundua ukweli .
Wewe jamaa waonyesha sio conservative wala liberal. Uko neutral tatizo ulichokiandika sijui wa liberal au wa conservative watakuelewa
 
Mbona husemi baada ya Lissu kugundua Viongozi waliokwepo CDM ni mamluki na kuanza kupambana nao ndiyo wakaelekea zao CHAUMMA wengine kurudi CCM
Atakuambia hata huo ni mpango mkakati wa CCM tu.
 
Sio watanzania wote wanataka uongozi bora ili waondokane na umasikini kwa sababu kwanza sio watanzania wote ni masikini.
 
Ukweli ni mwingi kwa mleta mada.
Ktk uliyoeleza mengi ni kweli.
Hasa hilo la Lissu kutumika na team wahuni kipindi 2016-2021.
Hata sanaa ya kushambuliwa kwake.
Mimi hizi siasa za upinzani nilizistukia tangu 2015 ule upumbavu wa gia ya angani nikaachana nazo.
Kidogo sasa hivi zinaleta maana hasa nnapoona CCM wanavurugana wao kwa wao.
 
Huwa nikiwaangalia Watanzania unabaki kucheka , kwakuwa wanaamini Tanzania kuna wanasiasa wa kuwapambania dhidi ya umasikini wao jibu ni hapana.

Vyama vyote vinafanya Kazi chini ya watu wale wale wa Ccm.

Ndo maana mwaka 2015-2020 Magufuli alivyo noticed huo ujinga alipanic na akatamani avifute na kuchukua hizo brains kutoka upinzani.

Wapo wanasiasa wakubwa wa Vyama vya upinzani ni tithiiiii Ila they act like the really Wapinzan. , that's bullshit.

I feel so sorry kuwaona Vijana Kama Mdude , Soka , and etc wanakuwa kidnapped , n.k huku wakiamini wanaipambania Chadema

Kule Arusha na sehemu nyinginezo vijana walikufa , kuuliwa na kuteswa hii haikuwa sawa kabisa.

Sasa the only hope waliyobaki nayo ni kufurahia VIFO vya watu wasiowapenda.

Lissu hivi karibuni , he noticed kuwa waliomshambulia hawakuwa wale anaowajua , bali walikuwa watu waliomuweka ndani , nasikitika amegundua hili akiwa maechelewa.

Sio CHADEMA wala Ccm , wote hawa viongozi wao they are living luxury life , wanapewa PESA za Serikali na kodi zetu kula bata.

Ni Ujinga kiwango Cha SGR kuamini kuwa upo tayari kufa kwa ajili ya Ccm au chadema.

Najua hapa JF wapo watu wameajiriwa Jikoni wanaelewa kuwa kuwa TAL alikuwa anafanya Kazi na ...........since 2016 na kuishtaki Serikali ya JPM.

Na kushambuliwa kwake, kulifanywa na watu walewale waliokuwa wanampa taarifa za siri , walilenga kumuua ili waichafue Serikali ya JPM completely.

Ndo maana recently TAL ameugundua ukweli .
Mlikosea kuruhusu utandawazi kushamiri nchini. Kitendo cha kuruhusu kuzagaa kwa smartphones tu kwa mfano,hilo ni kaa la Moto kwenu. Mambo yanakuwa uchi. Mngeacha watanzania wasiwe na access yoyote ya kujua yanayoendelea kupitia utandawazi(waendelee kuwa gizani) ili muendelee kuwapumbaza kwa propaganda mfu kama hizi. Ni kama mkoloni alivyojichanganya kuwapa watumwa wake Elimu ambayo baadae iligeuka kuwa kisu cha kumchinjia mwenyewe!.
Change your attitude or else change will change your attitude!

MUNGU HADHIHAKIWI
NASIMAMA NA HAKI
 
Ukweli ni mwingi kwa mleta mada.
Ktk uliyoeleza mengi ni kweli.
Hasa hilo la Lissu kutumika na team wahuni kipindi 2016-2021.
Hata sanaa ya kushambuliwa kwake.
Mimi hizi siasa za upinzani nilizistukia tangu 2015 ule upumbavu wa gia ya angani nikaachana nazo.
Kidogo sasa hivi zinaleta maana hasa nnapoona CCM wanavurugana wao kwa wao.
Haimake sense!. Kwa nini yeye asiye mhuni asioneshe dhahiri kwamba yeye sio muhusika wa yale marisasi kwa kuruhusu uchunguzi huru wa tukio lile la kinyama na hatua stahiki kuchukuliwa?. Hadi anaondoka duniani danadana kibao na mtu wa watu amekuwa mlemavu!
MUNGU HADHIHAKIWI
NASIMAMA NA HAKI
 
Ni hivi dhalimu magu ndio aliogiza Lisu auwawe, katafute wajinga ndio uwaambie huu utoto. Tafuta mahali pa kupeleka hili dodoki la kumsafisha dhalimu magu.
Huyu anatuchukuliaje?
MUNGU HADHIHAKIWI
NASIMAMA NA HAKI
 
Huwa nikiwaangalia Watanzania unabaki kucheka , kwakuwa wanaamini Tanzania kuna wanasiasa wa kuwapambania dhidi ya umasikini wao jibu ni hapana.

Vyama vyote vinafanya Kazi chini ya watu wale wale wa Ccm.

Ndo maana mwaka 2015-2020 Magufuli alivyo noticed huo ujinga alipanic na akatamani avifute na kuchukua hizo brains kutoka upinzani.

Wapo wanasiasa wakubwa wa Vyama vya upinzani ni tithiiiii Ila they act like the really Wapinzan. , that's bullshit.

I feel so sorry kuwaona Vijana Kama Mdude , Soka , and etc wanakuwa kidnapped , n.k huku wakiamini wanaipambania Chadema

Kule Arusha na sehemu nyinginezo vijana walikufa , kuuliwa na kuteswa hii haikuwa sawa kabisa.

Sasa the only hope waliyobaki nayo ni kufurahia VIFO vya watu wasiowapenda.

Lissu hivi karibuni , he noticed kuwa waliomshambulia hawakuwa wale anaowajua , bali walikuwa watu waliomuweka ndani , nasikitika amegundua hili akiwa maechelewa.

Sio CHADEMA wala Ccm , wote hawa viongozi wao they are living luxury life , wanapewa PESA za Serikali na kodi zetu kula bata.

Ni Ujinga kiwango Cha SGR kuamini kuwa upo tayari kufa kwa ajili ya Ccm au chadema.

Najua hapa JF wapo watu wameajiriwa Jikoni wanaelewa kuwa kuwa TAL alikuwa anafanya Kazi na ...........since 2016 na kuishtaki Serikali ya JPM.

Na kushambuliwa kwake, kulifanywa na watu walewale waliokuwa wanampa taarifa za siri , walilenga kumuua ili waichafue Serikali ya JPM completely.

Ndo maana recently TAL ameugundua ukweli .
Rubbish
 
Back
Top Bottom