Kwa mambo ambayo nayajua huku jikoni, hata reform na katiba Mpya vipatikane bado nisingethubutu kupiga kura

Bora hao waliobaki wanaweza kuwa msaada Kwa CDM kuliko mamluki walioondoka karibuni

Unajua hata kule CCM Kuna usalama pia, ambao huvujisha baadhi ya mambo yao meusi Kwa akina Lissu pia
Shida ya watz ni kuwaamini wanasiasa ambao wanapambania interest zao.

Lissu kafanya sana Kazi na ..... Wamemaliza wamemgeuka na kumpatia kesi mbaya.
 
CCM na Tume Wanashirikiana Kuhujumu Uchaguzi Huu wa 2025 wanatumia Kodi zetu Vibaya CCM ni waroho wa madaraka wanafanya siasa kwa Msaada wa Dola na Tume Yao Mama Anaenda Kuongea na Maimamu anawacheza Shere na hii ni Dhambi kubwa sana ya Dhulma
Yani Pamoja na kuwa CHADEMA haipo kwenye Uchaguzi Bado hata hivi Vyama vilivyopo CCM inataka Kuwaibia hiii CCM oneni Aibu Japo kidogo Hivi zama za Leo Ushinde 99.9 like for how ACT na CHAUMMA shitukeni maana Nyie Angalau mna onekana mna chembe za opposition
 
Ila uzuri na wewe ukiwemo, maana wote tuko ktk mtumbwi mmoja halafu unachekelea eti hatuvuki...
Na kumbuka nchi ni yetu sote, uko na familia, ndg, jamaa na marafiki kumbuka...
Watu wa aina hii wanasumbulia na uelewa finyu. Hakuna jambo la kijinga kama kususia viongozi na kuwaachia wafanye watakavyo eti hawaaminiki. Huyu anadhani kuwa anaweza kuishi maisha mazuri bila kuhakikishia viongozi wanawajibika. Ni kweli unaweza kufanikiwa kwa muda mfupi lakini kwa malengo ya muda mrefu hutoboi. Kama anasusa siasa kwa sababu viongozi ni matapeli mbona hasusi kufanya manunuzi au kuishi mjini kwa sababu kuna matapeli?
 
Sawa
 
Huwa nikiwaangalia Watanzania unabaki kucheka , kwakuwa wanaamini Tanzania kuna wanasiasa wa kuwapambania dhidi ya umasikini wao jibu ni hapana.

Vyama vyote vinafanya Kazi chini ya watu wale wale wa Ccm.

Ndo maana mwaka 2015-2020 Magufuli alivyo noticed huo ujinga alipanic na akatamani avifute na kuchukua hizo brains kutoka upinzani.

Wapo wanasiasa wakubwa wa Vyama vya upinzani ni tithiiiii Ila they act like the really Wapinzan. , that's bullshit.

I feel so sorry kuwaona Vijana Kama Mdude , Soka , and etc wanakuwa kidnapped , n.k huku wakiamini wanaipambania Chadema

Kule Arusha na sehemu nyinginezo vijana walikufa , kuuliwa na kuteswa hii haikuwa sawa kabisa.

Sasa the only hope waliyobaki nayo ni kufurahia VIFO vya watu wasiowapenda.

Lissu hivi karibuni , he noticed kuwa waliomshambulia hawakuwa wale anaowajua , bali walikuwa watu waliomuweka ndani , nasikitika amegundua hili akiwa maechelewa.

Sio CHADEMA wala Ccm , wote hawa viongozi wao they are living luxury life , wanapewa PESA za Serikali na kodi zetu kula bata.

Ni Ujinga kiwango Cha SGR kuamini kuwa upo tayari kufa kwa ajili ya Ccm au chadema.

Najua hapa JF wapo watu wameajiriwa Jikoni wanaelewa kuwa kuwa TAL alikuwa anafanya Kazi na ...........since 2016 na kuishtaki Serikali ya JPM.

Na kushambuliwa kwake, kulifanywa na watu walewale waliokuwa wanampa taarifa za siri , walilenga kumuua ili waichafue Serikali ya JPM completely.

Ndo maana recently TAL ameugundua ukweli .
Unamaanisha Ili Lisu atoke, ni shart wawe wamehama nchi,

And vice versa is true.
 
Taasisi zote kubwa haziwezi kukosa TISS, shida kubwa hao watu wengi wao hawapo kwa ajili ya maslahi mapana ya mama Tz, wapo kwa maslahi ya mabwanyenye.
 
Huwa nikiwaangalia Watanzania unabaki kucheka , kwakuwa wanaamini Tanzania kuna wanasiasa wa kuwapambania dhidi ya umasikini wao jibu ni hapana.

Vyama vyote vinafanya Kazi chini ya watu wale wale wa Ccm.

Ndo maana mwaka 2015-2020 Magufuli alivyo noticed huo ujinga alipanic na akatamani avifute na kuchukua hizo brains kutoka upinzani.

Wapo wanasiasa wakubwa wa Vyama vya upinzani ni tithiiiii Ila they act like the really Wapinzan. , that's bullshit.

I feel so sorry kuwaona Vijana Kama Mdude , Soka , and etc wanakuwa kidnapped , n.k huku wakiamini wanaipambania Chadema

Kule Arusha na sehemu nyinginezo vijana walikufa , kuuliwa na kuteswa hii haikuwa sawa kabisa.

Sasa the only hope waliyobaki nayo ni kufurahia VIFO vya watu wasiowapenda.

Lissu hivi karibuni , he noticed kuwa waliomshambulia hawakuwa wale anaowajua , bali walikuwa watu waliomuweka ndani , nasikitika amegundua hili akiwa maechelewa.

Sio CHADEMA wala Ccm , wote hawa viongozi wao they are living luxury life , wanapewa PESA za Serikali na kodi zetu kula bata.

Ni Ujinga kiwango Cha SGR kuamini kuwa upo tayari kufa kwa ajili ya Ccm au chadema.

Najua hapa JF wapo watu wameajiriwa Jikoni wanaelewa kuwa kuwa TAL alikuwa anafanya Kazi na ...........since 2016 na kuishtaki Serikali ya JPM.

Na kushambuliwa kwake, kulifanywa na watu walewale waliokuwa wanampa taarifa za siri , walilenga kumuua ili waichafue Serikali ya JPM completely.

Ndo maana recently TAL ameugundua ukweli .
Kama sio JPM kwanini alizuia uchunguzi
 
FREEMAN AEKAEL MBOWE NI TISS .......

Sent from my TECNO CI6 using JamiiForums mobile app
 
Pumbavu zako wewe dada muuza nyapu.
 
Kwahiyo hayo mambo wewe unayajua Ila mwenye Serikali yake JPM hakujua kua kuna watu wanataka kumchafua.

Kama kweli ni msafi, Alishindwaje kufungua jarida la uchunguzi wa kesi ili tupate jua ukweli wa mambo haya, Alikubali kuchafuliwa?
 
Huwa nikiwaangalia Watanzania unabaki kucheka , kwakuwa wanaamini Tanzania kuna wanasiasa wa kuwapambania dhidi ya umasikini wao jibu ni hapana.

Vyama vyote vinafanya Kazi chini ya watu wale wale wa Ccm.

Ndo maana mwaka 2015-2020 Magufuli alivyo noticed huo ujinga alipanic na akatamani avifute na kuchukua hizo brains kutoka upinzani.

Wapo wanasiasa wakubwa wa Vyama vya upinzani ni tithiiiii Ila they act like the really Wapinzan. , that's bullshit.

I feel so sorry kuwaona Vijana Kama Mdude , Soka , and etc wanakuwa kidnapped , n.k huku wakiamini wanaipambania Chadema

Kule Arusha na sehemu nyinginezo vijana walikufa , kuuliwa na kuteswa hii haikuwa sawa kabisa.

Sasa the only hope waliyobaki nayo ni kufurahia VIFO vya watu wasiowapenda.

Lissu hivi karibuni , he noticed kuwa waliomshambulia hawakuwa wale anaowajua , bali walikuwa watu waliomuweka ndani , nasikitika amegundua hili akiwa maechelewa.

Sio CHADEMA wala Ccm , wote hawa viongozi wao they are living luxury life , wanapewa PESA za Serikali na kodi zetu kula bata.

Ni Ujinga kiwango Cha SGR kuamini kuwa upo tayari kufa kwa ajili ya Ccm au chadema.

Najua hapa JF wapo watu wameajiriwa Jikoni wanaelewa kuwa kuwa TAL alikuwa anafanya Kazi na ...........since 2016 na kuishtaki Serikali ya JPM.

Na kushambuliwa kwake, kulifanywa na watu walewale waliokuwa wanampa taarifa za siri , walilenga kumuua ili waichafue Serikali ya JPM completely.

Ndo maana recently TAL ameugundua ukweli .
Ni hivi dhalimu magu ndio aliogiza Lisu auwawe, katafute wajinga ndio uwaambie huu utoto. Tafuta mahali pa kupeleka hili dodoki la kumsafisha dhalimu magu.
 
Back
Top Bottom