Huwa nikiwaangalia Watanzania unabaki kucheka , kwakuwa wanaamini Tanzania kuna wanasiasa wa kuwapambania dhidi ya umasikini wao jibu ni hapana.
Vyama vyote vinafanya Kazi chini ya watu wale wale wa Ccm.
Ndo maana mwaka 2015-2020 Magufuli alivyo noticed huo ujinga alipanic na akatamani avifute na kuchukua hizo brains kutoka upinzani.
Wapo wanasiasa wakubwa wa Vyama vya upinzani ni tithiiiii Ila they act like the really Wapinzan. , that's bullshit.
I feel so sorry kuwaona Vijana Kama Mdude , Soka , and etc wanakuwa kidnapped , n.k huku wakiamini wanaipambania Chadema
Kule Arusha na sehemu nyinginezo vijana walikufa , kuuliwa na kuteswa hii haikuwa sawa kabisa.
Sasa the only hope waliyobaki nayo ni kufurahia VIFO vya watu wasiowapenda.
Lissu hivi karibuni , he noticed kuwa waliomshambulia hawakuwa wale anaowajua , bali walikuwa watu waliomuweka ndani , nasikitika amegundua hili akiwa maechelewa.
Sio CHADEMA wala Ccm , wote hawa viongozi wao they are living luxury life , wanapewa PESA za Serikali na kodi zetu kula bata.
Ni Ujinga kiwango Cha SGR kuamini kuwa upo tayari kufa kwa ajili ya Ccm au chadema.
Najua hapa JF wapo watu wameajiriwa Jikoni wanaelewa kuwa kuwa TAL alikuwa anafanya Kazi na ...........since 2016 na kuishtaki Serikali ya JPM.
Na kushambuliwa kwake, kulifanywa na watu walewale waliokuwa wanampa taarifa za siri , walilenga kumuua ili waichafue Serikali ya JPM completely.
Ndo maana recently TAL ameugundua ukweli .