Kwa mambo ambayo nayajua huku jikoni, hata reform na katiba Mpya vipatikane bado nisingethubutu kupiga kura

Siasa ni mchezo wa watu wenye akili...Mtoa mada watu kukuelewa ni vigumu...kuna watu wanaingia kwenye huo mchezo kwa kufuata mkumbo au kwa kumuamini mtu fulani hao nawahurumia sana..Kiufupi kwasasa.. Kataa siasa,,Siasa ni utapeli wa kifikra.
Yeye wa jikoni ajibu maswali yetu Sisi wa bangaroo ili tuikane Imani yetu tuhamie kwenye Imani yake.Full stop!
MUNGU HADHIHAKIWI
NASIMAMA NA HAKI
 
Huwa nikiwaangalia Watanzania unabaki kucheka , kwakuwa wanaamini Tanzania kuna wanasiasa wa kuwapambania dhidi ya umasikini wao jibu ni hapana.

Vyama vyote vinafanya Kazi chini ya watu wale wale wa Ccm.

Ndo maana mwaka 2015-2020 Magufuli alivyo noticed huo ujinga alipanic na akatamani avifute na kuchukua hizo brains kutoka upinzani.

Wapo wanasiasa wakubwa wa Vyama vya upinzani ni tithiiiii Ila they act like the really Wapinzan. , that's bullshit.

I feel so sorry kuwaona Vijana Kama Mdude , Soka , and etc wanakuwa kidnapped , n.k huku wakiamini wanaipambania Chadema

Kule Arusha na sehemu nyinginezo vijana walikufa , kuuliwa na kuteswa hii haikuwa sawa kabisa.

Sasa the only hope waliyobaki nayo ni kufurahia VIFO vya watu wasiowapenda.

Lissu hivi karibuni , he noticed kuwa waliomshambulia hawakuwa wale anaowajua , bali walikuwa watu waliomuweka ndani , nasikitika amegundua hili akiwa maechelewa.

Sio CHADEMA wala Ccm , wote hawa viongozi wao they are living luxury life , wanapewa PESA za Serikali na kodi zetu kula bata.

Ni Ujinga kiwango Cha SGR kuamini kuwa upo tayari kufa kwa ajili ya Ccm au chadema.

Najua hapa JF wapo watu wameajiriwa Jikoni wanaelewa kuwa kuwa TAL alikuwa anafanya Kazi na ...........since 2016 na kuishtaki Serikali ya JPM.

Na kushambuliwa kwake, kulifanywa na watu walewale waliokuwa wanampa taarifa za siri , walilenga kumuua ili waichafue Serikali ya JPM completely.

Ndo maana recently TAL ameugundua ukweli .
Unapotosha umma kwa faida ya nani
 
Haimake sense!. Kwa nini yeye asiye mhuni asioneshe dhahiri kwamba yeye sio muhusika wa yale marisasi kwa kuruhusu uchunguzi huru wa tukio lile la kinyama na hatua stahiki kuchukuliwa?. Hadi anaondoka duniani danadana kibao na mtu wa watu amekuwa mlemavu!
MUNGU HADHIHAKIWI
NASIMAMA NA HAKI
Wala usiwe na haraka wala usitumie sana hisia zako, haya mambo yatakuwa dhahiri hivi karibuni.
Ngoma ipo patamu sasa.
Lkn kwa akili ya kawaida hivi inawezekanaje Rais atoe amri ya kuuwawa mtu fukani alaf akosekane? Maana lisu hakuwa ukimbizini, alikuwa hapa hapa na akiendelea na majukumu yake.
Serikali inawatu maalum kwa kazi hizo tena wanamafunzo tukuka kwa kazi hizo. Ety mtu anaenda anapiga risasi 30 na kumuacha mlengwa mzima mbona haiingii akilini?
Km ni kwakutumia risasi, risasi moja tu ingetosha kuondoa uhai wa mlengwa.
Ule ulikuwa ni mchezo na JPM alihujumiwa.
 
Bado unarukaruka,hujajibu Swali la msingi. Kwa nini JPM alizuia uchunguzi huru wa tukio lile la kinyama?.
 
Atakuambia hata huo ni mpango mkakati wa CCM tu.
Lissu amefanya wasanii wote waondoke chamani

Walikuwa wanakitumia Chama kujinufaisha na kuwaingiza watoto wa watu kwenye shida za kuuawa na kujeruhiwa na Police tu
 
Huwa nikiwaangalia Watanzania unabaki kucheka , kwakuwa wanaamini Tanzania kuna wanasiasa wa kuwapambania dhidi ya umasikini wao jibu ni hapana.

Vyama vyote vinafanya Kazi chini ya watu wale wale wa Ccm.

Ndo maana mwaka 2015-2020 Magufuli alivyo noticed huo ujinga alipanic na akatamani avifute na kuchukua hizo brains kutoka upinzani.

Wapo wanasiasa wakubwa wa Vyama vya upinzani ni tithiiiii Ila they act like the really Wapinzan. , that's bullshit.

I feel so sorry kuwaona Vijana Kama Mdude , Soka , and etc wanakuwa kidnapped , n.k huku wakiamini wanaipambania Chadema

Kule Arusha na sehemu nyinginezo vijana walikufa , kuuliwa na kuteswa hii haikuwa sawa kabisa.

Sasa the only hope waliyobaki nayo ni kufurahia VIFO vya watu wasiowapenda.

Lissu hivi karibuni , he noticed kuwa waliomshambulia hawakuwa wale anaowajua , bali walikuwa watu waliomuweka ndani , nasikitika amegundua hili akiwa maechelewa.

Sio CHADEMA wala Ccm , wote hawa viongozi wao they are living luxury life , wanapewa PESA za Serikali na kodi zetu kula bata.

Ni Ujinga kiwango Cha SGR kuamini kuwa upo tayari kufa kwa ajili ya Ccm au chadema.

Najua hapa JF wapo watu wameajiriwa Jikoni wanaelewa kuwa kuwa TAL alikuwa anafanya Kazi na ...........since 2016 na kuishtaki Serikali ya JPM.

Na kushambuliwa kwake, kulifanywa na watu walewale waliokuwa wanampa taarifa za siri , walilenga kumuua ili waichafue Serikali ya JPM completely.

Ndo maana recently TAL ameugundua ukweli .
Waliomshambulia Lissu ndiyo waliong'oa CCTV cameras, ndiyo walioharibu recordings kwenye servers, ndiyo waliowatoa security guards na polisi kwenye eneo lenye ulinzi wa serikali, ndiyo waliozuia mpaka leo upelelezi haufanyiki, ndiyo waliowatishia viongozi wasiende kumjulia hali hospitali Nairobi na Brussels, ndiyo waliosema ametoroka bungeni na hajulikani alipo wakati everybody knew kwamba alikuwa hospitali ili asilipwe stahiki zake.
Hakuna mwenye uwezo wa kufanya yote hayo zaidi ya serikari, Lissu alishambuliwa na vyombo vya ulinzi na usalama vya nchi. Kile kikosi haramu kinachojumisha vibaka walio ndani ya TISS na wa jeshi la polisi dubbed as wasiojulikana.
Acheni upumbavu wa kutaka kuhamisha magoli.
 
Binafsi nakuelewa mtoa mada...

Lissu ni mwanasheria aliyejiingiza kw3nye siasa...

Kuna namna Lissu haelewi siasa zinachezwa vipi ndio maana hutumika kirahisi...

Lissu ametumiwa na mbowe kuwaondoa wanasiasa mahiri sana chadema walioonekqna tishio kwa mwenyekiti, kwasababu hajui michezo ya kisiasa...

Kuna namna alitumiwa pia kumdhoofisha magufuli, alifanikiwa kwasababu magufuli hakua mwanasiasa pia...

Lissu yuko real sana, siasa haitaki hivyo...

Lissu akitoka jela naamini atakua amepata somo in a hard way, na ataweka wanamkakati wanaojua siasa wa kumsaidia...
 
Mkuu upo jiko gani mada haina harufu ya vitunguu? Sawa mkuu big up
 
Huwa nikiwaangalia Watanzania unabaki kucheka , kwakuwa wanaamini Tanzania kuna wanasiasa wa kuwapambania dhidi ya umasikini wao jibu ni hapana.

Vyama vyote vinafanya Kazi chini ya watu wale wale wa Ccm.

Ndo maana mwaka 2015-2020 Magufuli alivyo noticed huo ujinga alipanic na akatamani avifute na kuchukua hizo brains kutoka upinzani.

Wapo wanasiasa wakubwa wa Vyama vya upinzani ni tithiiiii Ila they act like the really Wapinzan. , that's bullshit.

I feel so sorry kuwaona Vijana Kama Mdude , Soka , and etc wanakuwa kidnapped , n.k huku wakiamini wanaipambania Chadema

Kule Arusha na sehemu nyinginezo vijana walikufa , kuuliwa na kuteswa hii haikuwa sawa kabisa.

Sasa the only hope waliyobaki nayo ni kufurahia VIFO vya watu wasiowapenda.

Lissu hivi karibuni , he noticed kuwa waliomshambulia hawakuwa wale anaowajua , bali walikuwa watu waliomuweka ndani , nasikitika amegundua hili akiwa maechelewa.

Sio CHADEMA wala Ccm , wote hawa viongozi wao they are living luxury life , wanapewa PESA za Serikali na kodi zetu kula bata.

Ni Ujinga kiwango Cha SGR kuamini kuwa upo tayari kufa kwa ajili ya Ccm au chadema.

Najua hapa JF wapo watu wameajiriwa Jikoni wanaelewa kuwa kuwa TAL alikuwa anafanya Kazi na ...........since 2016 na kuishtaki Serikali ya JPM.

Na kushambuliwa kwake, kulifanywa na watu walewale waliokuwa wanampa taarifa za siri , walilenga kumuua ili waichafue Serikali ya JPM completely.

Ndo maana recently TAL ameugundua ukweli .
TAL yupo sasa we mzee usimsemee. Uzuri Lissu huwa hafichigi uchafu atazungumza.
 
Unachokisema nacho si cha kuamini sana, maana kinajemga maswali!

Kama waliomshambulia ni watu wake, kwanini mifumo ya ulinzi pamoja na Camera za Cctv viondolewe siku hiyo ya shambulizi?
 
Unamtoaje huyu kwenye shambulio la kutaka kumuua Lissu wakati mazingira yote yanaonyesha kuwa yeye ndiye muhusika namba moja kutokana na vitendo alivyomfanyia Lissu?.

Alikataa kugharamia matibabu ya Lissu ili Lissu afe,alimvua ubunge,alikataa kumulipa haki zake,JPM alitakiwa ajinasue mwenyewe kwa kumutendea mema Lissu.
Sawa tujipe muda
 
Back
Top Bottom