Kwa maoni yangu, Arusha inaongoza kuwa na warembo Kanda ya Kaskazini

Kwema Wakuu!

Kama hujawahi kutembelea mikoa hii basi unatakiwa ufanye jitihada kidogo utembelee ujionee watoto Wakali.

Uzuri katika uzi huu utahusisha Uzuri wa Sura, maumbile, mwonekano, na rangi. Na mikoa iliyoibuka kidedea kwa kutoa Pisikali ni kama ifuatavyo;

1. Arusha.
Ukifika Arusha Mjini pale na kuzurura mitaani shingo yako haitaacha kugeuka kushangaa warembo wa Arusha. Warefu kiasi, sura za kuchongoka, rangi ya kuvutía, na maumbo Mazuri. Arusha ni namba moja.
Shida yao kuu warembo hawa wanajiamini sana tofauti na inavyojulikana kuwa wanawake ni Watu wenye aibu na kutojiamini.

2. Dar es salaam
Dar inashika nafasi ya pili. Licha ya kuwa na mchanganyiko mkubwa wa Watu kutoka mikoa mbalimbali lakini bado DSM haiwezi kufua dafu mbele ya Arusha linapokuja swala la nani mbabe wa kumiliki vyuma, Pisikali katika nchi hii.

3. Singida.
Rangi na sura zao zinawabeba lakini Arusha wanawazidi kwenye kipengele cha rangi nyeupe zilizopoa.

4. Kilimanjaro.
Ukifika Moshi mjini 80% ya wanawake utakaowaona siku ya kwanza kama ni mgeni utagundua wanasura nzuri, weupe na maji ya kunde, na warefu wa kati.

5. Manyara
Hawa wanabebwa na sura zao na rangi yao. Urefu wa kati na nyusi nyingi machoni.

6. Tanga
Ni mkoa ambao kati ya wanawake kumi utakaowaona basi sita ni Wazuri.

7. Tabora.
Wazuri wa sura, maumbo, rangi nyeupe, nyeusi na maji ya kunde.
Kwa wanawake kumi utakaowaona basi watano ni wazuri. Hiyo inafanya uwiano kuwa 5:5
Tunasema hiyo ndio mikoa ambayo inaanzia uwiano wa Average kwenda juu.

Tuendelee kuchanganya damu kama Nyerere alivyosema.
Wasalamu.
 
Sio kanda ya kaskazini tuu, Arusha ni ina watoto wakareee bongo yote.. yan ni wakal balaa huwa sichok kwenda Arusha.Watoto weupe wana weupe flan hiv kias kwamba nikirud Dar wanawake weupe naona kama wana weupe flan unachukizaaa kama wameunguzwa jua hiv. Arusha ina watoto mzee sema tatizo lao tu ni Usela usela halaf wale kuoa ni mtihani sana..ku hangout nao aaahhh safi una enjoy..nataman next time nikitimba Ara ni mchel Leejay49
 
Kwema Wakuu!

Kama hujawahi kutembelea mikoa hii basi unatakiwa ufanye jitihada kidogo utembelee ujionee watoto Wakali.

Uzuri katika uzi huu utahusisha Uzuri wa Sura, maumbile, mwonekano, na rangi. Na mikoa iliyoibuka kidedea kwa kutoa Pisikali ni kama ifuatavyo;

1. Arusha.
Ukifika Arusha Mjini pale na kuzurura mitaani shingo yako haitaacha kugeuka kushangaa warembo wa Arusha. Warefu kiasi, sura za kuchongoka, rangi ya kuvutía, na maumbo Mazuri. Arusha ni namba moja.
Shida yao kuu warembo hawa wanajiamini sana tofauti na inavyojulikana kuwa wanawake ni Watu wenye aibu na kutojiamini.

2. Dar es salaam
Dar inashika nafasi ya pili. Licha ya kuwa na mchanganyiko mkubwa wa Watu kutoka mikoa mbalimbali lakini bado DSM haiwezi kufua dafu mbele ya Arusha linapokuja swala la nani mbabe wa kumiliki vyuma, Pisikali katika nchi hii.

3. Singida.
Rangi na sura zao zinawabeba lakini Arusha wanawazidi kwenye kipengele cha rangi nyeupe zilizopoa.

4. Kilimanjaro.
Ukifika Moshi mjini 80% ya wanawake utakaowaona siku ya kwanza kama ni mgeni utagundua wanasura nzuri, weupe na maji ya kunde, na warefu wa kati.

5. Manyara
Hawa wanabebwa na sura zao na rangi yao. Urefu wa kati na nyusi nyingi machoni.

6. Tanga
Ni mkoa ambao kati ya wanawake kumi utakaowaona basi sita ni Wazuri.

7. Tabora.
Wazuri wa sura, maumbo, rangi nyeupe, nyeusi na maji ya kunde.
Kwa wanawake kumi utakaowaona basi watano ni wazuri. Hiyo inafanya uwiano kuwa 5:5
Tunasema hiyo ndio mikoa ambayo inaanzia uwiano wa Average kwenda juu.

Tuendelee kuchanganya damu kama Nyerere alivyosema.
Wasalamu.
Tabora hapana nakataa
 
Back
Top Bottom