Lord Denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 23,491
- 57,973
Wanajijua kina Wakudadavuwa Suzy Elias Lorenzo Samike Memento YEHODAYA PolePole na wengineoSasa hivi ni S gang?
Ivyo ivyo ulivyoelewaSijui mimi ni popoma, sijaelewa ulicholenga.
Mimi nilidhani Rais anafanya kazi kuhakikisha ustawi wa nchi na siyo kushindana na wafuasi wa watangulizi.
Hivyo wewe ni chawa pro wa mama?Ivyo ivyo ulivyoelewa
1Ksh ni sawa na 20.42 ya Tanzania au 1Tsh ni sawa na 0.049Kshs kipindi cha nyuma ilikuwa 1ksh kwa 22 mpaka 231 Kshs = Tshs ?. Tupe jibu ndo tufahamu kama shillingi ya Tanzania inazidi kuimarika.
Hakuna shida maana sijawaigi kuwa sawa na wauajiUkiona post za mleta mada kabla ya oktoba 2020 huwezi amini kama angegeuka kuwa chawa namna hii
Kwani nani kakwambia hatufanyi vizuri against USD?Mimi hata sijakuelewa...
Unazungumzia TZS vs USD lakini ajabu ni kuwa unachomeka data za value ya KSH against USD..!
Sasa forget about KSH. Badala yake hebu tueleze basi, for how much has the value of TSHS has risen against USD this month compared to the last month...??
Haya makitu ya uvccm hayanagaa akili hata kuandika propaganda kuzitengeneza hawajui.1 Kshs = Tshs ?. Tupe jibu ndo tufahamu kama shillingi ya Tanzania inazidi kuimarika.
Nilidhani dhidi ya dollar, kumbe dhidi ya Kenyan money. NonsenseNisiseme maneno mengi!
Wale Team S gang poleni sana! Yale maneno yenu ya kutunga sijui mmepigwa na kitu kizito kichwani! Sijui nchi inafanya vibaya kiuchumi yanazidi kuonekana kuwa ni chuki zenu tu dhidi ya Mama Samia!
Mama a anazidi kuupiga mwingi si mchezo, Baada ya Tanzania sasa kuuza zaidi kwenye mataifa ya Afrika Mashariki yote kuliko yenyewe yanavyouza kwetu, Sasa shilingi ya Tanzania imeanza kuimarika dhidi ya shilingi ya Kenya jambo ambalo halijawai kutokea kwa zaidi ya Miaka 35.
Poleeni sana S gang! Samia anazidi kung’ara tu[emoji3]
View attachment 2034975
Sifa za kijinga kabisa, unaju miaka 15 hivi pesa ya kenya ilikua 10 hadi 7 kwa mia na leo ni 4.7 kwa mia sasa hiyo miaka 35 uliitoa wapi?Nisiseme maneno mengi!
Wale Team S gang poleni sana! Yale maneno yenu ya kutunga sijui mmepigwa na kitu kizito kichwani! Sijui nchi inafanya vibaya kiuchumi yanazidi kuonekana kuwa ni chuki zenu tu dhidi ya Mama Samia!
Mama a anazidi kuupiga mwingi si mchezo, Baada ya Tanzania sasa kuuza zaidi kwenye mataifa ya Afrika Mashariki yote kuliko yenyewe yanavyouza kwetu, Sasa shilingi ya Tanzania imeanza kuimarika dhidi ya shilingi ya Kenya jambo ambalo halijawai kutokea kwa zaidi ya Miaka 35.
Poleeni sana S gang! Samia anazidi kung’ara tu😀
View attachment 2034975
Chawa wahedi anatafuta kuingizwa mfumoniHivyo wewe ni chawa pro wa mama?