Kwa Mara ya kwanza baada ya Miaka zaidi ya 30, Shilingi ya Tanzania yaanza kufanya vizuri

Nisiseme maneno mengi!

Wale Team S gang poleni sana! Yale maneno yenu ya kutunga sijui mmepigwa na kitu kizito kichwani! Sijui nchi inafanya vibaya kiuchumi yanazidi kuonekana kuwa ni chuki zenu tu dhidi ya Mama Samia!

Mama a anazidi kuupiga mwingi si mchezo, Baada ya Tanzania sasa kuuza zaidi kwenye mataifa ya Afrika Mashariki yote kuliko yenyewe yanavyouza kwetu, Sasa shilingi ya Tanzania imeanza kuimarika dhidi ya shilingi ya Kenya jambo ambalo halijawai kutokea kwa zaidi ya Miaka 35.

Poleeni sana S gang! Samia anazidi kung’ara tu[emoji3]
View attachment 2034975
Mkuu kwa sasa nakukubali sana [emoji109][emoji109][emoji109]..Mama yeye anafanya kazi kwa mipango mikakati, akiplan jambo lake mpaka aone limetimia.
 
Nisiseme maneno mengi!

Wale Team S gang poleni sana! Yale maneno yenu ya kutunga sijui mmepigwa na kitu kizito kichwani! Sijui nchi inafanya vibaya kiuchumi yanazidi kuonekana kuwa ni chuki zenu tu dhidi ya Mama Samia!

Mama a anazidi kuupiga mwingi si mchezo, Baada ya Tanzania sasa kuuza zaidi kwenye mataifa ya Afrika Mashariki yote kuliko yenyewe yanavyouza kwetu, Sasa shilingi ya Tanzania imeanza kuimarika dhidi ya shilingi ya Kenya jambo ambalo halijawai kutokea kwa zaidi ya Miaka 35.

Poleeni sana S gang! Samia anazidi kung’ara tu[emoji3]
View attachment 2034975
Kama shilingi ya Kenya ndio haifanyi vr imeshuka unasemaje sh ya Tanzania inafanya vr

Sent from my Infinix X655C using JamiiForums mobile app
 
Mama Samia hapoi! Anakimbiza mwizi kimyakimya na anamkamata kweli
Kwa mambo kama haya utaachaje kumkubali Maza?👇

Screenshot_20211208-153820.png

Screenshot_20211208-153849.png
 
Nisiseme maneno mengi!

Wale Team S gang poleni sana! Yale maneno yenu ya kutunga sijui mmepigwa na kitu kizito kichwani! Sijui nchi inafanya vibaya kiuchumi yanazidi kuonekana kuwa ni chuki zenu tu dhidi ya Mama Samia!

Mama a anazidi kuupiga mwingi si mchezo, Baada ya Tanzania sasa kuuza zaidi kwenye mataifa ya Afrika Mashariki yote kuliko yenyewe yanavyouza kwetu, Sasa shilingi ya Tanzania imeanza kuimarika dhidi ya shilingi ya Kenya jambo ambalo halijawai kutokea kwa zaidi ya Miaka 35.

Poleeni sana S gang! Samia anazidi kung’ara tu😀
View attachment 2034975
Ipo siku hadi utalia humu ili kutuaminisha Mama anaupiga mwingi.
 
Nisiseme maneno mengi!

Wale Team S gang poleni sana! Yale maneno yenu ya kutunga sijui mmepigwa na kitu kizito kichwani! Sijui nchi inafanya vibaya kiuchumi yanazidi kuonekana kuwa ni chuki zenu tu dhidi ya Mama Samia!

Mama a anazidi kuupiga mwingi si mchezo, Baada ya Tanzania sasa kuuza zaidi kwenye mataifa ya Afrika Mashariki yote kuliko yenyewe yanavyouza kwetu, Sasa shilingi ya Tanzania imeanza kuimarika dhidi ya shilingi ya Kenya jambo ambalo halijawai kutokea kwa zaidi ya Miaka 35.

Poleeni sana S gang! Samia anazidi kung’ara tu[emoji3]
View attachment 2034975
Tumeuza nini nje ya nchi
 
Toa maelezo vizuri...ni kwamba shilingi ya Kenya imeporomoka au ya kwetu imeimarika?Ni ujinga kufurahia kuporomoka kwa shilingi ya mwenzako na kujipima kwa mafanikio
 
Hakuna shida maana sijawaigi kuwa sawa na wauaji
Kama mlimfunga babu seya maisha bila makosa eti kisa tuu kala papa wa bosi wako utadhani mke wa bosi wako alikuwa ni mwanafunzi na bikra ,huo si ndo uuaji wenyewe.tena bila huruma mnawafunga familia nzima yani mlidhamilia kuteketeza ukoo wa yule mzee nguza viki nyie msoga na bosi wenu ni wanyama hatari wa kutisha.
 
Back
Top Bottom