Kwa Mara ya kwanza baada ya Miaka zaidi ya 30, Shilingi ya Tanzania yaanza kufanya vizuri

fala wewe ,1000tsh =?!ksh!?. Kama hujui vitu bola u ....up...ur mouth!!!
 
Kanuni za kiuchumi ni kwamba kadiri unavyouza bidhaa (bora) nje, pesa inaimarika. Pesa ya Kenya ipo juu kwa kanuni hiyo. Pesa ya Tz inaimarika tangu awamu ya Tano ianze.
 
1Ksh ni sawa na 20.42 ya tanzania au 1Tsh ni sawa na 0.049Kshs kipindi cha nyuma ilikuwa 1ksh kwa 22 mpaka 23
Nadhani umeangalia online currency exchange ambayo haipo dirishani, ila kama ni zile zetu za kwenda bank dirishani, umedanganya pakubwa sana, hakuna kitu kama hicho.
 
Tshs inaimarika au Kshs ndiyo inashuka thamani yake kutokana na athari za Corona.

Hujaona hata Uganda imesemwa inafanya vizuri.

S Gang watembee vifua mbele maana hata hili ni matokeo ya kutokufunga mikoa na mikoa wala curfew kwenye kukabiliana na Corona.

Weka na Tshs dhidi ya USD tuone.

Pro Hangaya mna shida.
 
Sarafu yetu inapimwa kwa kutumia world reserve currency ikiwemo USD. KSH siyo reserve currency!

Kuna uwezekano mkubwa hamjajipanga.
 
Nisiseme maneno mengi!

Wale Team S gang poleni sana! Yale maneno yenu ya kutunga sijui mmepigwa na kitu kizito kichwani! Sijui nchi inafanya vibaya kiuchumi yanazidi kuonekana kuwa ni chuki zenu tu dhidi ya Mama Samia!

Mama a anazidi kuupiga mwingi si mchezo, Baada ya Tanzania sasa kuuza zaidi kwenye mataifa ya Afrika Mashariki yote kuliko yenyewe yanavyouza kwetu, Sasa shilingi ya Tanzania imeanza kuimarika dhidi ya shilingi ya Kenya jambo ambalo halijawai kutokea kwa zaidi ya Miaka 35.

Poleeni sana S gang! Samia anazidi kung’ara tu😀
View attachment 2034975
Machawa mna tabu sana.
Alafu utakuta lileta post, linaishi kwa shemeji linalala sebuleni,halijui hata Bei ya sembe na mfuko wa saruji.
 
Nisiseme maneno mengi!

Wale Team S gang poleni sana! Yale maneno yenu ya kutunga sijui mmepigwa na kitu kizito kichwani! Sijui nchi inafanya vibaya kiuchumi yanazidi kuonekana kuwa ni chuki zenu tu dhidi ya Mama Samia!

Mama a anazidi kuupiga mwingi si mchezo, Baada ya Tanzania sasa kuuza zaidi kwenye mataifa ya Afrika Mashariki yote kuliko yenyewe yanavyouza kwetu, Sasa shilingi ya Tanzania imeanza kuimarika dhidi ya shilingi ya Kenya jambo ambalo halijawai kutokea kwa zaidi ya Miaka 35.

Poleeni sana S gang! Samia anazidi kung’ara tu[emoji3]
View attachment 2034975
Asante kutujulisha,wananchi tuko pamoja na Mh,Mama Rais wetu Mpendwa Samia.
 
Kumbe ukiandika mada kishabiki sana unaiharibu eeh!

Mbona photo hapo inaongelea kuporomoka kwa shilingi ya kenya?
 
Nisiseme maneno mengi!

Wale Team S gang poleni sana! Yale maneno yenu ya kutunga sijui mmepigwa na kitu kizito kichwani! Sijui nchi inafanya vibaya kiuchumi yanazidi kuonekana kuwa ni chuki zenu tu dhidi ya Mama Samia!

Mama a anazidi kuupiga mwingi si mchezo, Baada ya Tanzania sasa kuuza zaidi kwenye mataifa ya Afrika Mashariki yote kuliko yenyewe yanavyouza kwetu, Sasa shilingi ya Tanzania imeanza kuimarika dhidi ya shilingi ya Kenya jambo ambalo halijawai kutokea kwa zaidi ya Miaka 35.

Poleeni sana S gang! Samia anazidi kung’ara tu😀
View attachment 2034975
Strategy za JPM zote hizo.

Kumbuka tangu mwaka jana Shilling imeimalika sana.

Ilipokoma tu ile biashana ya fedha basi shilingi ikawa vizuri.

Nashangaa unajitia uzuzu as if hujui.
 
Nisiseme maneno mengi!

Wale Team S gang poleni sana! Yale maneno yenu ya kutunga sijui mmepigwa na kitu kizito kichwani! Sijui nchi inafanya vibaya kiuchumi yanazidi kuonekana kuwa ni chuki zenu tu dhidi ya Mama Samia!

Mama a anazidi kuupiga mwingi si mchezo, Baada ya Tanzania sasa kuuza zaidi kwenye mataifa ya Afrika Mashariki yote kuliko yenyewe yanavyouza kwetu, Sasa shilingi ya Tanzania imeanza kuimarika dhidi ya shilingi ya Kenya jambo ambalo halijawai kutokea kwa zaidi ya Miaka 35.

Poleeni sana S gang! Samia anazidi kung’ara tu[emoji3]
View attachment 2034975
Inaweza kuwa currency yetu imekuwa strong kidogo lakini Kenya wakiexport hizo unfinished goods UK na Eroupe wanapata forex nyingi zaidi sasa Kenya ndio wanapata faida zaidi kwa kuboresha hizo goods na kuexport nje kwa bei kubwa ziadi hata mara 10 ya ile waliyonunua TZ unfinished goods
 
Mimi hii inflation ndiyo inanitisha. Kuanzia kwenye chakula mpaka vifaa vya ujenzi kuna ongezeko la bei sana.
 
1Ksh ni sawa na 20.42 ya tanzania au 1Tsh ni sawa na 0.049Kshs kipindi cha nyuma ilikuwa 1ksh kwa 22 mpaka 23

Aisee masihara haya tunajadiri, hela yetu imezidiwa mara ishirini afu mnaanzisha nyuzi kama hizi z nini, kaMa sio kudharirisha tsh yetu, subirini tu overtake kwanza ndipo tujadiri
 
Mimi hii inflation ndiyo inanitisha. Kuanzia kwenye chakula mpaka vifaa vya ujenzi kuna ongezeko la bei sana.

Mimi siku zote huwa nakaa najiuliza siku zote kwamba ,kama serikali imeweza kuwa na taasisi kama EWURA inayotusaidia wanainchi hasa pale inavyoweza kutimiza wajibu wake wa Ku regulate bei za mafuta ,nishati na maji kwa watumiaji, kwa nini hiyo hiyo serikali isiwe bunifu ikaja na mawazo ya ku regulate bei za mahitaji maalumu kwa wanainchi kama za chakula , vifaa vya ujenzi na kadhalika ili kudhibiti hizi inflation zinazokuwa zinaibuka .

Chombo hichi ilitakiwa kiundwe kwa ajili ya ku asses na kutoa bei elekezi kwa wafanyabiashara wakubwa na wadogo na kitungiwe sheria ili kipate nguvu , kama serikali imeweza kujiregulate yenyewe inashindwaje kuunda chombo kinachoweza kuregulate taasisi binafsi hasa zidi ya hizi bei
 
Back
Top Bottom