Lord Denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 23,491
- 57,973
- Thread starter
- #61
Sijui mimi ni popoma, sijaelewa ulicholenga.
Mimi nilidhani Rais anafanya kazi kuhakikisha ustawi wa nchi na siyo kushindana na wafuasi wa watangulizi.
Sijui mimi ni popoma, sijaelewa ulicholenga.
Mimi nilidhani Rais anafanya kazi kuhakikisha ustawi wa nchi na siyo kushindana na wafuasi wa watangulizi.
Poor vitu vinapanda bei kila siku
Kumkamata Mbowe na kufanikiwa kupiga pesa za ummaUwekezaji upi sasa ambao awamu ya sita imefanya?
Embu nitajia miradi miwili tu?
Eleweni hakuna anayempinga Mama, Mama anakumbatia mafisadi na kutaka kuturudisha kule kwa majizi. Hata kama thamani ya hela ikipanda lakini kama kuna majizi na mafisadi bado Mama atachukiwa.Nisiseme maneno mengi!
Wale Team S gang poleni sana! Yale maneno yenu ya kutunga sijui mmepigwa na kitu kizito kichwani! Sijui nchi inafanya vibaya kiuchumi yanazidi kuonekana kuwa ni chuki zenu tu dhidi ya Mama Samia!
Mama a anazidi kuupiga mwingi si mchezo, Baada ya Tanzania sasa kuuza zaidi kwenye mataifa ya Afrika Mashariki yote kuliko yenyewe yanavyouza kwetu, Sasa shilingi ya Tanzania imeanza kuimarika dhidi ya shilingi ya Kenya jambo ambalo halijawai kutokea kwa zaidi ya Miaka 35.
Poleeni sana S gang! Samia anazidi kung’ara tu😀
View attachment 2034975
Wapo wajinga wanakwambia mwanamke hawezi kuongoza Tanzania. Wamekariri ujinga wa mfumo dume, hii mada hata kidogo hawawezi kuielewa.Nisiseme maneno mengi!
Wale Team S gang poleni sana! Yale maneno yenu ya kutunga sijui mmepigwa na kitu kizito kichwani! Sijui nchi inafanya vibaya kiuchumi yanazidi kuonekana kuwa ni chuki zenu tu dhidi ya Mama Samia!
Mama a anazidi kuupiga mwingi si mchezo, Baada ya Tanzania sasa kuuza zaidi kwenye mataifa ya Afrika Mashariki yote kuliko yenyewe yanavyouza kwetu, Sasa shilingi ya Tanzania imeanza kuimarika dhidi ya shilingi ya Kenya jambo ambalo halijawai kutokea kwa zaidi ya Miaka 35.
Poleeni sana S gang! Samia anazidi kung’ara tu😀
View attachment 2034975
Wewe umekaririshwa upuuzi mwingi. Huwezi kuishi kama kisiwa, huwezi kuendekeza uchoyo wa kujifungia kwenye dunia ya nipe nikupe.HAPO SASA,,,
Tunaanza kuagiza sukari wakati wakulima wetu wanateketeza miwa.
MBULULA SQUAD utawajua tu.
Umenikwoti lakini masikini hata hujanielewa nilichotaka kujua kutoka kwako....Kwani nani kakwambia hatufanyi vizuri against USD?
Na watakoma,Tzn inazidi kusonga mbele 👇Habari mbaya sana hii kwa Chato Gang Suzy Elias Lorenzo Samike GENTAMYCINE maana wao Samia kufanya vizuri ni legacy ya muhuni wao kufutwa🤣
Nipe ambacho sina, nikupe usichonacho. Ni bora zaidi hata ingekuwa kwa mfumo wa 'butter trade' eg fuel vs access to the port. Vinginevyo ni maigizoWewe umekaririshwa upuuzi mwingi. Huwezi kuishi kama kisiwa, huwezi kuendekeza uchoyo wa kujifungia kwenye dunia ya nipe nikupe.
Export figure ya dhahabu ilitakiwa itenganishe, makampuni ya nje na ndani. Kama kampuni nyingi za nje ndio wauzaji wa dhahabu, hii haina faida yoyote kwetu, maana faida iliyozalishwa inakuwa remitted kwa nchi zingine huko. Na kama wauzaji dhahabu ni kampuni za ndani ina maana faida hiyo imebaki ndani kama reserve ya fedha za kigeni.
Kuna majizi na mafisadi gani? Wamekwapua nini?Eleweni hakuna anayempinga Mama, Mama anakumbatia mafisadi na kutaka kuturudisha kule kwa majizi. Hata kama thamani ya hela ikipanda lakini kama kuna majizi na mafisadi bado Mama atachukiwa.
Kwa nini itemganishwe wakati inaongeza mapato ya serikali?Export figure ya dhahabu ilitakiwa itenganishe, makampuni ya nje na ndani. Kama kampuni nyingi za nje ndio wauzaji wa dhahabu, hii haina faida yoyote kwetu, maana faida iliyozalishwa inakuwa remitted kwa nchi zingine huko. Na kama wauzaji dhahabu ni kampuni za ndani ina maana faida hiyo imebaki ndani kama reserve ya fedha za kigeni.
Maigizo Shilingi yenu kuongezeka nguvu na thamani? Jinga kabisa wewe?Nipe ambacho sina, nikupe usichonacho. Ni bora zaidi hata ingekuwa kwa mfumo wa 'butter trade' eg fuel vs access to the port. Vinginevyo ni maigizo
Unalipwa bei gani chawa?Nisiseme maneno mengi!
Wale Team S gang poleni sana! Yale maneno yenu ya kutunga sijui mmepigwa na kitu kizito kichwani! Sijui nchi inafanya vibaya kiuchumi yanazidi kuonekana kuwa ni chuki zenu tu dhidi ya Mama Samia!
Mama a anazidi kuupiga mwingi si mchezo, Baada ya Tanzania sasa kuuza zaidi kwenye mataifa ya Afrika Mashariki yote kuliko yenyewe yanavyouza kwetu, Sasa shilingi ya Tanzania imeanza kuimarika dhidi ya shilingi ya Kenya jambo ambalo halijawai kutokea kwa zaidi ya Miaka 35.
Poleeni sana S gang! Samia anazidi kung’ara tu😀
View attachment 2034975
Nilipwe ili iweje?Unalipwa bei gani chawa?
Mmeshahamisha magoli mara hii.Nipe ambacho sina, nikupe usichonacho. Ni bora zaidi hata ingekuwa kwa mfumo wa 'butter trade' eg fuel vs access to the port. Vinginevyo ni maigizo
Achana nao hawa pingapinga fcMmeshahamisha magoli mara hii.
Bams nipo. Mambo yalikiwa mengi lakini kwa nyakati tofauti tofauti sikukosa kuisoma JF.
Ushabiki unapopindua hekima za wachangiaji wengi, ladha ya kuchangia inapungua.
Sio serikali, wawekezaji kutoka nje. Hufuatilii habari kuhusu uwekezaji nchini?Uwekezaji upi sasa ambao awamu ya sita imefanya?
Embu nitajia miradi miwili tu?