Kwa Mara ya kwanza baada ya Miaka zaidi ya 30, Shilingi ya Tanzania yaanza kufanya vizuri

Labda Kama Shillingi imeimalika usiku huu asubuhi nimelipa mtandaoni Dolla 80 nimelipa 250,000 Mkuu unaishi sehemu gani nihamie huko
 
Cameroon kuna chombo cha hivyo, yani huwezi kukuta kila mtu ana bei za hovyo hovyo.
 
Mkuu, umemaliza. Kwenye swala la kiuchumi, kifedha na kitakwimu za ukweli,halisi na zilizothibitishwa,mkuu Chige ndiye mwana JF pekee anayeaminika mpaka sasa.
Hivi ndugu Bams naye yu wapi siku hizi!!??
Bams nipo. Mambo yalikiwa mengi lakini kwa nyakati tofauti tofauti sikukosa kuisoma JF.

Ushabiki unapopindua hekima za wachangiaji wengi, ladha ya kuchangia inapungua.
 
Na itafanya vizuri zaidi kwa sababu FDI inflows imekuwa kubwa na exports ya bidhaa imeongezeka Sana .
Saizi ukijifanya kutunza pesa ya madafunkwa dola eti utegemee ikipungua ndio uje uuze itakumala,toka mwezi wa 6 shilling ilipanda Sana dhidi ya dola na inaendelea hivyo.
 
Strategy za JPM zote hizo.

Kumbuka tangu mwaka jana Shilling imeimalika sana.

Ilipokoma tu ile biashana ya fedha basi shilingi ikawa vizuri.

Nashangaa unajitia uzuzu as if hujui.
Sio kweli mkuu...Mimi ni mdau mkubwa kwenye masuala ya forex, na mabadiliko ya exchange rate yanaathiri biashara yangu pakubwa

Shilingi ni kweli imeanza kuimarika kipindi hiki cha Samia
Sababu kubwa nadhani ni kutokana na uwekezaji wa nje ambao umeobgezeka mara dufu awamu hii ya 6
 
Sijui mimi ni popoma, sijaelewa ulicholenga.

Mimi nilidhani Rais anafanya kazi kuhakikisha ustawi wa nchi na siyo kushindana na wafuasi wa watangulizi.
Amekuonesha nusu ya sh.elfu moja ya Kenya imeunganishwa na nusu ya elfu moja ya Tanzania ikimaanisha sh.1,000/= ya Kenya sawa na sh.1,000/= ya Tanzania!
 
Habari mbaya sana hii kwa Chato Gang Suzy Elias Lorenzo Samike GENTAMYCINE maana wao Samia kufanya vizuri ni legacy ya muhuni wao kufutwa🤣
 
Uwekezaji upi sasa ambao awamu ya sita imefanya?

Embu nitajia miradi miwili tu?
 
1Ksh ni sawa na 20.42 ya tanzania au 1Tsh ni sawa na 0.049Kshs kipindi cha nyuma ilikuwa 1ksh kwa 22 mpaka 23
Kwahiyo hili ni la kujivunia sisi watanzania na tutembee vifua mbereee???
 
Uwekezaji upi sasa ambao awamu ya sita imefanya?

Embu nitajia miradi miwili tu?
Huoni viwanda vinavyofunguliwa? Huoni mipaka ya Kenya na Uganda ilivyofunguka na bidhaa zinaingia sana nchini Mwai sasaivi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…