Mkuu kwa sasa nakukubali sana [emoji109][emoji109][emoji109]..Mama yeye anafanya kazi kwa mipango mikakati, akiplan jambo lake mpaka aone limetimia.Nisiseme maneno mengi!
Wale Team S gang poleni sana! Yale maneno yenu ya kutunga sijui mmepigwa na kitu kizito kichwani! Sijui nchi inafanya vibaya kiuchumi yanazidi kuonekana kuwa ni chuki zenu tu dhidi ya Mama Samia!
Mama a anazidi kuupiga mwingi si mchezo, Baada ya Tanzania sasa kuuza zaidi kwenye mataifa ya Afrika Mashariki yote kuliko yenyewe yanavyouza kwetu, Sasa shilingi ya Tanzania imeanza kuimarika dhidi ya shilingi ya Kenya jambo ambalo halijawai kutokea kwa zaidi ya Miaka 35.
Poleeni sana S gang! Samia anazidi kung’ara tu[emoji3]
View attachment 2034975
Vyote vyote : Nitajie sasa hivi nakurushia Buku Teni.Sio serikali, wawekezaji kutoka nje. Hufuatilii habari kuhusu uwekezaji nchini?
Mama Samia hapoi! Anakimbiza mwizi kimyakimya na anamkamata kweliMkuu kwa sasa nakukubali sana [emoji109][emoji109][emoji109]..Mama yeye anafanya kazi kwa mipango mikakati, akiplan jambo lake mpaka aone limetimia.
Kama shilingi ya Kenya ndio haifanyi vr imeshuka unasemaje sh ya Tanzania inafanya vrNisiseme maneno mengi!
Wale Team S gang poleni sana! Yale maneno yenu ya kutunga sijui mmepigwa na kitu kizito kichwani! Sijui nchi inafanya vibaya kiuchumi yanazidi kuonekana kuwa ni chuki zenu tu dhidi ya Mama Samia!
Mama a anazidi kuupiga mwingi si mchezo, Baada ya Tanzania sasa kuuza zaidi kwenye mataifa ya Afrika Mashariki yote kuliko yenyewe yanavyouza kwetu, Sasa shilingi ya Tanzania imeanza kuimarika dhidi ya shilingi ya Kenya jambo ambalo halijawai kutokea kwa zaidi ya Miaka 35.
Poleeni sana S gang! Samia anazidi kung’ara tu[emoji3]
View attachment 2034975
Kwa mambo kama haya utaachaje kumkubali Maza?👇Mama Samia hapoi! Anakimbiza mwizi kimyakimya na anamkamata kweli
Shilingi ya Kenya inahusika vipi na Shilingi ya Tzn?Kama shilingi ya Kenya ndio haifanyi vr imeshuka unasemaje sh ya Tanzania inafanya vr
Sent from my Infinix X655C using JamiiForums mobile app
Ipo siku hadi utalia humu ili kutuaminisha Mama anaupiga mwingi.Nisiseme maneno mengi!
Wale Team S gang poleni sana! Yale maneno yenu ya kutunga sijui mmepigwa na kitu kizito kichwani! Sijui nchi inafanya vibaya kiuchumi yanazidi kuonekana kuwa ni chuki zenu tu dhidi ya Mama Samia!
Mama a anazidi kuupiga mwingi si mchezo, Baada ya Tanzania sasa kuuza zaidi kwenye mataifa ya Afrika Mashariki yote kuliko yenyewe yanavyouza kwetu, Sasa shilingi ya Tanzania imeanza kuimarika dhidi ya shilingi ya Kenya jambo ambalo halijawai kutokea kwa zaidi ya Miaka 35.
Poleeni sana S gang! Samia anazidi kung’ara tu😀
View attachment 2034975
Mtalia nyie s gang ila sio teamSamiaIpo siku hadi utalia humu ili kutuaminisha Mama anaupiga mwingi.
Sukuma Gang iko very relaxed. Na bila Sukuma Gang no JF!Mtalia nyie s gang ila sio teamSamia
Tumeuza nini nje ya nchiNisiseme maneno mengi!
Wale Team S gang poleni sana! Yale maneno yenu ya kutunga sijui mmepigwa na kitu kizito kichwani! Sijui nchi inafanya vibaya kiuchumi yanazidi kuonekana kuwa ni chuki zenu tu dhidi ya Mama Samia!
Mama a anazidi kuupiga mwingi si mchezo, Baada ya Tanzania sasa kuuza zaidi kwenye mataifa ya Afrika Mashariki yote kuliko yenyewe yanavyouza kwetu, Sasa shilingi ya Tanzania imeanza kuimarika dhidi ya shilingi ya Kenya jambo ambalo halijawai kutokea kwa zaidi ya Miaka 35.
Poleeni sana S gang! Samia anazidi kung’ara tu[emoji3]
View attachment 2034975
andika vizuri watu wakuelewe .maana ni jambo zuri na inatakiwa kuwailisha vizuri.Hivyo wewe ni chawa pro wa mama?
Ipo siku hadi utalia humu ili kutuaminisha Mama anaupiga mwingi.
Lol, kumbe hawa sukuma gang wameanza kuihujumu shilingi yetu miaka 30 iliyopita, kabla hata kundi lenyewe halijaundwa? 😂😂Poleeni sana S gang!
All the best with your numbersNumbers don’t lie! Mama yupo vizuri
Pitia na huku, haya yote yalijadiliwa muda mrefu.Kwa nini itemganishwe wakati inaongeza mapato ya serikali?Tukubali tu: Sisi wajinga... (I know, it hurts)
Kama mlimfunga babu seya maisha bila makosa eti kisa tuu kala papa wa bosi wako utadhani mke wa bosi wako alikuwa ni mwanafunzi na bikra ,huo si ndo uuaji wenyewe.tena bila huruma mnawafunga familia nzima yani mlidhamilia kuteketeza ukoo wa yule mzee nguza viki nyie msoga na bosi wenu ni wanyama hatari wa kutisha.Hakuna shida maana sijawaigi kuwa sawa na wauaji