Kwa Mara ya kwanza Napongeza Ubunifu alioufanya Makonda Arusha

Kuhusu gharama iyo hoja nyingine. All in all mimi uzi wangu umejikita kwenye festival yenyewe na faida yake kwa nchi kiutalii na kiuchumi kuanzia sasa hadi miaka ijayo huko.
 
of course amefanya kitu kizuri. naamini waingereza watakuwa wameona namna landrover ilivyopiga promo na wanaweza kusapoti mwakani.
Watakaofaidi ni wale watakaopanda ndege kwenda Dubai kula mema ya nchi na wa Dubai kuja kuchukua tuliyojaliwa na Muumba katika ardhi yetu!
 
Una shida gani na singeli brother
 
Nimesikia kesho wana ratiba ya kwenda mbugani.

Ni jambo zuri usumbugu mdogo lazima utokee. Tutizame faida yake zaidi
Huyu mzungu jamaa yangu naona yeye hajaenda arusha
Ila hyo festival jamaa Ana burudika sana 😄

Ova
 

Attachments

  • 20241012_104955.jpg
    536.2 KB · Views: 1
Wabongo wanashangaza sana, yani badala ya kuangalia nini kimefanywa anaangalia kwanza nani kafanya na ndio maana inawapa shida kupongeza tu pale anapoona jambo zuri limefanywa na asiyempenda.
 
Ki ukweli Makonda ni KIONGOZI. Anajua kuitendea kazi kila nafasi anayopewa.
 
Kwa hili kafanya vzr, nyeupe nyeupe,nyeusi nyeusi hakuna haja ya kuwa negative muda wote.Roho mbaya tu unayo
 
Chadema watakuponda sana
 
Uongozi wa Tanzania ni wa hovyo hakuna mtu atakuja kufungua kiwanda kikubwa hapa maana sera za hapa zinategemea matamko ya Rais aliyepo madarakani, alijaribu Dangote lakini mwisho anasua sua tu sababu ya sera mbovu na kodi za kijinga.
Kwa hiyo Dangote anafanya biashara ya hasara ?hii mipuuzi ya chadema sijui ilizaliwa na wazazi wa aina gani aisee? SHAME
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…