Dini ni njia kuu ya kutawala watu kifikra wawe mazuzu washindwe kuhoji.Mangi kimambi naye anasimama na watu wengine katika kuushutumu utawala wa Kiisilamu wa Irani kusema ni mgumu afadhali ule wa Saudia arabia na baadhi ya inchi zingine za Kiisilamu
Nimeona ngoja niwajibu watu wote waujue Uisilamu wa kweli,Ukisoma historia ya kweli kabisa ya Uisilamu alioishi nao Mtume Muhammad (S.A.W) ndiyo haya maisha halisi wanayoishi wairani,inamaana hakuna kitu kipya walichoingiza kila wanachokifanya ni maelekezo ya Mwenyezi Mungu kwenda kwa Mtume wake Muhammad(S.A.W)na wao wanayafwata na haya yanayotokea leo yalishatokea miaka 1400 huko kabla
Saudia Arabia
Kuna Waisilamu lakini kama inchi haina sifa ya kuitwa inchi ya Kiisilamu sababu tayali imeshajitoa katika misingi ya kiisilamu,wameungana na Waisrael pamoja na inchi za Magharibi wamejikuta wao wanafwata tamaduni zao wakati Mungu anatukataza Waisilamu kukaa mbali na watu kama hao
Mfano leo hizo inchi zinazojiita za kiisilamu zimewakalibisha wazungu zimejikuta zinauza pombe,kuna clabu za malaya nazani hata nyama za nguruwe zinauzwa watu wanatembea uchi kama Dubai na viongozi wao wanaishi maishi ya anasa,
Katika Uisilamu hivyo vitu vimepigwa marufuku sasa mnamshutumu Irani anayefwata sunna ya Mtume Muhammad(S.A.W) na maisha aliyoisha swahaba immamu Ali bin twalibu au manataka muendeleza wa maisha ya makafiri wa Makka kina Muwaiya kabla hawajakubali kusilimu kinguvu
Unawezaje kuzema nchi nzima ni Waislamu?Kama wao ni waislamu utasemaje hawakubali?
Hao wairan achana nao
Hawalazimishwi kufuata sheria za Kiislamu wakati hapo Zanzibar tu hata si nchi inayofuata sharia watu wanalazimishwa wasile kwa uhuru mfungo wa Ramadhani?Sijasema kuwa nchi nzima ni waislamu ila kwa kawaida watu wasio waislam huwa hawalazimishwi kufuata sheria za dini ya Kiislamu katika nchi zenye sharia'
Ni kitendo cha kujisalimisha kwa Allah kwa kufuata maamrisho na makatazo yake
Kwa sababu nchi yao haifuati utaratibu wa kiislam
Sasa hayo mambo yao binafsi wala sio mafundisho ya UislamuHawalazimishwi kufuata sheria za Kiislamu wakati hapo Zanzibar tu hata si nchi inayofuata sharia watu wanalazimishwa wasile kwa uhuei mfungo wa Ramadhani.
Kwani nani amelazimishwa kuwa muislam?Huelewi wapi nakwambia dhana nzima ya kuwa na sheria za kidini, kwa ntu yeyote, hata huyo unayemsema Muislamu, ni ujinga kwa sababu dini hailazimishwi kisheria ni kitu cha mtu kukubali mwenyewe.
Kwa sababu hata huyo unayemsema Muislamu kuna siku anaweza kuamua kuacha juwa Muislamu.
Sasa utamnyima uhuru huo wakati Quran inasema dini ni suala la hiyari, si suala la kulazimishana?
Huelewi wapi hapo?
Sijasema kuna mtu kalazimishwa kuwa Muislamu.Sasa hayo mambo yao binafsi wala sio mafundisho ya Uislamu
Kwani nani amelazimishwa kuwa muislam?
Usikaze fuvu la kichwa kama hujui historia ya Uisilamu,unajua kama wewe ni mtu wa kuswali msikitini na kuondoka bila kujua historia ya dini yakoUislam umetoka Makkah na Madina na hiyo historia itabaki hivyo milele, waIrani sio Waislam na Mashia sio Waislam
Kwani hayo ndiyo mambo pekee ya kidini?Huko watu wanalazimishwa kuswali,kufunga,kutoa zaka au kuhiji?
Kuweka sheria ndiyo kulazimisha, huelewi wapi?Labda uniambie wewe unamlazimishaje
Labda uniambie wewe unamlazimishaje
Yeyote anayelazinishwa kufanya chochote kwa msingi wa dini katika Uislamu ni contradiction.Anayelazimishwa nani na analazimishwa kufanya nini?
Ninachojua mimi masuala ya dini uhukumiwa waislamu tu na wasio waislam uhukumiwa kwenye masuala kama vile wizi,mauaji n.kSharia law in the Middle East governs aspects of daily life, family, and criminal justice based on Islamic texts, varying significantly by country. Key examples include strict criminal penalties (hudud), specific inheritance laws, required modesty in dress, prohibition of alcohol, and regulating personal status issues like marriage and divorce.
Council on Foreign Relations
Council on Foreign Relations
+4
Key Examples of Sharia Law Application:
Criminal Penalties (Hudud): Some countries with strict interpretations, such as Saudi Arabia, may apply penalties like public flogging or amputation for theft.
Personal Status Law: Marriage, divorce, and inheritance are often governed by Sharia. For example, a man may marry up to four wives, while women may inherit half as much as men.
Public Behavior and Modesty: Strict rules often apply to public conduct, such as in Saudi Arabia where public religious police once enforced prayer times and modest dress, and the UAE where public displays of affection are restricted.
Social & Religious Restrictions: During Ramadan, eating, drinking, or smoking in public is prohibited in several countries, including for non-Muslims.
Banking and Finance: Islamic banking principles, which prohibit charging interest (riba), are enforced in many countries, influencing the banking sector in countries like Kuwait and Saudi Arabia.
Legal Systems: In Saudi Arabia, the entire legal system is based on an uncodified interpretation of Sharia. In Iran, the legal system is strictly aligned with the Ja'fari school of Shia law.
Council on Foreign Relations
Council on Foreign Relations
+6
Note: Sharia application varies widely, with nations like Saudi Arabia being very strict (Hanbali school), while others, like Turkey, are secular.
Wanakatazwa kunywa pombe?Yeyote anayelazinishwa kufanya chochote kwa msingi wa dini katika Uislamu ni contradiction.
Mfano, ukimlazimisha mtu asinywe pombe, kisheria, kwa sababu ya dini, ni ujinga.
Kwa sababu Quran inesema dini ni suala la hiyari, si la kukazinishwa.
Ukilazimisha benki zisitoze riba, kisheria, kwa sababu ya dini, ni ujinga.
Kaa sababu suala la dini ni suala la hiyari, si la kulazimishana.
Hujaelewa hoja.Wanakatazwa kunywa pombe?
Sheria haihitajiki hata kwa huyo inayemuita Muislamu.Ninachojua mimi masuala ya dini uhukumiwa waislamu tu na wasio waislam uhukumiwa kwenye masuala kama vile wizi,mauaji n.k
Chochote kile ambacho kitawekwa kwenye sheria ya kidini, Kiislamu, kinapingana na msingi wa Quran kwamba dini hailazimishwi.Sasa hapo wanacholazimishwa nini ungevitaja sasa
Haijalishi wanalazinishwa kufanya nini, issue ni kwamba wanalazimishwa, chochote.Kwani wanalazimishwa kufanya nini
Huyo Allah mwenyewe huwezi kuthibitisha kuwa yupo.Na Qur’an inataka watu wahukumu kupitia yale aliyoteremsha Allah
Wapi umethibitisha? Umethibitisha nini?Umeshaanza kuleta habari nyingine
Mimi nimeshathibitisha kuwa Allah unayeshindwa kuthibitisha ni wewe sio mimi