Kwa mara ya kwanza ndani ya miaka 25 Mbowe asherekea Xmas Dar badala ya K'njaro, kweli Lissu sio mtu wa mchezo mchezo

Lissu aslisababisha Magufuli apige magoti kuomba kura. Jambo lilionekana ni la ajabu sana
 
Lisu yupo moyoni mwa wajumbe ingawa machoni wapo na mbowe wakimhadaa wapate pesa anazogawa kusaka ushawishi
 
Mi Naona ni siasa tu za Mtandao
 
Hii kazi ya kufuatilia maisha ya mtu, hakika mnaiweza wachache. Yaani mtu unakaa kabisa kuchungulia fulani anasafiri kwenda mahali fulani, kila mwaka!
Mbona wewe unafuatilia michepuko ? hata kuja humu ni kufuatilia mijadala kufuatilia ni kufuatilia tu kumbuka hiki ni kipindi cha kampeni na chawa wa mbowe akina boniface mdee wanamfuatilia Lisu saa 24 kila siku hivyo boss wako Mbowe na yeye lazima wamfuatilie
 
Kilichopo mbele ni uchakachuaji mkubwa wizi wa kura chawa wa mbowe wanajifua kufanya kila njia Mbowe awe mshindi na kuwa mwenyekiti haramu apate kulinda madudu yake ukiwemo ufisadi pesa za chama
 
Mimi sio Mwana Chadema! lkn Lisu hatoboi, Afe kipa Afe Beki Mbowe atashinda kwa kura nyingi sana.
Wewe ni chawa wa mbowe Lisu atashinda kwa kura nyingi lakini wewe na kikundi chako mtamwibia kura
 
Mbowe ni sophomore wa Siasa za Chadema wakati Lissu ni freshman!!
 
Safari hii Mangi Mbowe wa Hai sijui kama hata anapata usingizi 😁

Mchakamchaka wa Lissu sio wa mchezo.
Sisi CCM hatuwezi kumuqcha mbowe tuna mbinu 4000 tutazitumiq japo kutoroka na masanduku polisi tuingilie halafu tutamjazia mwamba ushindi hatukubali mtu aliejenga chama jasho na damu aje muuza bar wa singida achukue kiti
 
Sisi CCM hatuwezi kumuqcha mbowe tuna mbinu 4000 tutazitumiq japo kutoroka na masanduku polisi tuingilie halafu tutamjazia mwamba ushindi hatukubali mtu aliejenga chama jasho na damu aje muuza bar wa singida achukue kiti
Hapo hapo unaweza kukuta hata hilo Bando umenunuliwa na shemeji acha kushobokea umasikini.
 
Hamna paka wala panya wa kumpokonya Mbowe UWENYEKITI wa CDM.

Niko pale Sinza Mori, niite mbwa kama Lissu atashinda
 
Mbowe huu moto anapelekewa sio wa dunia hii na anatakiwa jitafakari ,watz sio wajinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…