How sure are you?Mimi sio Mwana Chadema! lkn Lisu hatoboi, Afe kipa Afe Beki Mbowe atashinda kwa kura nyingi sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
How sure are you?Mimi sio Mwana Chadema! lkn Lisu hatoboi, Afe kipa Afe Beki Mbowe atashinda kwa kura nyingi sana.
chawa kaziniMimi sio Mwana Chadema! lkn Lisu hatoboi, Afe kipa Afe Beki Mbowe atashinda kwa kura nyingi sana.
Lissu aslisababisha Magufuli apige magoti kuomba kura. Jambo lilionekana ni la ajabu sanaHuku Mbowe akiona uenyekiti ukipita katikati ya vidole vyake na kumpokonya.
Kwa mara ya kwanza ndani ya miaka 25, ( kutoka kwa watu wa karibu wa Mbowe), mheshimiwa anasherekea sikukuu za mwisho wa mwaka ndani ya Dar es Salaam badala ya Kilimanjaro.
Mbowe na timu yake wameamua kutumia muda huu kujaribu kuwashawishi wajumbe waliopo mjini.
Huyu Lissu anaonekana sio mgombea wa kawaida kabusa.
Mwenyewe anamwitaga Abubakari Mbowe.Sijaona Salam zake za Merry Christmas kupitia @elythrocyte
Lisu yupo moyoni mwa wajumbe ingawa machoni wapo na mbowe wakimhadaa wapate pesa anazogawa kusaka ushawishiHuku Mbowe akiona uenyekiti ukipita katikati ya vidole vyake na kumpokonya.
Kwa mara ya kwanza ndani ya miaka 25, ( kutoka kwa watu wa karibu wa Mbowe), mheshimiwa anasherekea sikukuu za mwisho wa mwaka ndani ya Dar es Salaam badala ya Kilimanjaro.
Mbowe na timu yake wameamua kutumia muda huu kujaribu kuwashawishi wajumbe waliopo mjini.
Huyu Lissu anaonekana sio mgombea wa kawaida kabusa.
Mi Naona ni siasa tu za MtandaoHuku Mbowe akiona uenyekiti ukipita katikati ya vidole vyake na kumpokonya.
Kwa mara ya kwanza ndani ya miaka 25, ( kutoka kwa watu wa karibu wa Mbowe), mheshimiwa anasherekea sikukuu za mwisho wa mwaka ndani ya Dar es Salaam badala ya Kilimanjaro.
Mbowe na timu yake wameamua kutumia muda huu kujaribu kuwashawishi wajumbe waliopo mjini.
Huyu Lissu anaonekana sio mgombea wa kawaida kabusa.
Mbona wewe unafuatilia michepuko ? hata kuja humu ni kufuatilia mijadala kufuatilia ni kufuatilia tu kumbuka hiki ni kipindi cha kampeni na chawa wa mbowe akina boniface mdee wanamfuatilia Lisu saa 24 kila siku hivyo boss wako Mbowe na yeye lazima wamfuatilieHii kazi ya kufuatilia maisha ya mtu, hakika mnaiweza wachache. Yaani mtu unakaa kabisa kuchungulia fulani anasafiri kwenda mahali fulani, kila mwaka!
Wewe ni chawa wa mbowe Lisu atashinda kwa kura nyingi lakini wewe na kikundi chako mtamwibia kuraMimi sio Mwana Chadema! lkn Lisu hatoboi, Afe kipa Afe Beki Mbowe atashinda kwa kura nyingi sana.
Mbowe ni sophomore wa Siasa za Chadema wakati Lissu ni freshman!!Huku Mbowe akiona uenyekiti ukipita katikati ya vidole vyake na kumpokonya.
Kwa mara ya kwanza ndani ya miaka 25, ( kutoka kwa watu wa karibu wa Mbowe), mheshimiwa anasherekea sikukuu za mwisho wa mwaka ndani ya Dar es Salaam badala ya Kilimanjaro.
Mbowe na timu yake wameamua kutumia muda huu kujaribu kuwashawishi wajumbe waliopo mjini.
Huyu Lissu anaonekana sio mgombea wa kawaida kabusa.
Sisi CCM hatuwezi kumuqcha mbowe tuna mbinu 4000 tutazitumiq japo kutoroka na masanduku polisi tuingilie halafu tutamjazia mwamba ushindi hatukubali mtu aliejenga chama jasho na damu aje muuza bar wa singida achukue kitiSafari hii Mangi Mbowe wa Hai sijui kama hata anapata usingizi 😁
Mchakamchaka wa Lissu sio wa mchezo.
Hapo hapo unaweza kukuta hata hilo Bando umenunuliwa na shemeji acha kushobokea umasikini.Sisi CCM hatuwezi kumuqcha mbowe tuna mbinu 4000 tutazitumiq japo kutoroka na masanduku polisi tuingilie halafu tutamjazia mwamba ushindi hatukubali mtu aliejenga chama jasho na damu aje muuza bar wa singida achukue kiti
UumbwaaaBamboo juice 🐼😂
Content kwani JF Kuna Maridhiano?
Achekiwe marinda haraka sanaHii kazi ya kufuatilia maisha ya mtu, hakika mnaiweza wachache. Yaani mtu unakaa kabisa kuchungulia fulani anasafiri kwenda mahali fulani, kila mwaka!
Ukiombwa ushahidi wa unachokitetea utaweza kutoa??🚴🚴🚴Ukiombwa ushahidi kuhusu unayoandika unaweza kuutoa?
Muda mwingine ukikosa content sio lazima unandike nyuzi hovyo hovyo kama bwashee johnthebaptist mnywa ulanzi
Hamna paka wala panya wa kumpokonya Mbowe UWENYEKITI wa CDM.Huku Mbowe akiona uenyekiti ukipita katikati ya vidole vyake na kumpokonya.
Kwa mara ya kwanza ndani ya miaka 25, ( kutoka kwa watu wa karibu wa Mbowe), mheshimiwa anasherekea sikukuu za mwisho wa mwaka ndani ya Dar es Salaam badala ya Kilimanjaro.
Mbowe na timu yake wameamua kutumia muda huu kujaribu kuwashawishi wajumbe waliopo mjini.
Huyu Lissu anaonekana sio mgombea wa kawaida kabusa.
Mbowe huu moto anapelekewa sio wa dunia hii na anatakiwa jitafakari ,watz sio wajingaHuku Mbowe akiona uenyekiti ukipita katikati ya vidole vyake na kumpokonya.