Kwa mara ya kwanza nimekuwa na mahusiano na wanaume wawili

Wawili tu unatamba hivi, kumbe wanawake wanaojitunza bado mpo!!
 
Endelea kutengeneza Bomu ,na wao pia labda wana kucheat sasa mtajuta wote baadae huku magonjwa ya Ngono yakiwaburuza
 
Umefanyaje fanyaje mpka umeweza?
Niwe mkweli tu nilishashindwaga kabisa.labda itokee bila kujitambua nijikute kwenye hayo mahusiano mawili.lakini eti nipange sasa nakuwa na mwanaume zaidi ya mmoja,hapana aiseh

Unataka kuniaminisha kuwa nikikupa ndoa nitafaidi 'munyewe'![emoji39]
 
Unawapendea Pesa, ngoja waendelee kukuchangia uendeshe maisha.
 
Wazungu walituletea ukristo ili watuumize wanaume tu.

Afu wao ndo wanongoza kwa divorcing.
Mungu anawaona.
 
Ukiwa na mahusiano na mtu mmoja ni rahisi kujua anakucheati au la ? , Hawajagundua tu kwani nao wana mahusiano mengine kando nawe
 
Unacho fanya hakina tofauti na huyo jamaa hapo kwa avatar
 
Wewe ni shujaa namba moja TZ kwa kujitangaza Rasmi UNADANGA waziwazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…