Kwa Mara ya Kwanza nimeona Mafanikio ya Serikali kwenye suala la Machinga, Hongera Serikali ya Awamu ya Sita

Dust dust, kwamba kuonekana kwa mji kunawaingizia kipato wananchi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa iyo kwako uchafu ndo unawaingizia kipato wananchi?

Kwa akili izo mfu alafu unaweza kuta una ndoto za kuwa kiongozi! Jinga kabisa

Watu kama nyie ndo mnatakiwa kurudishwa tena shule na kupewa kozi maalum za ustaarabu!
 
Mwambie kilaza huyo
 
Reactions: Tsh
Hii nhi ilichezewa sana ndugu zangu.

Yaani mtu anapika ugali katika stendi ya daladala, kwa kutumia kuni na ana mwaga maji machafu barabaran.

Ukiuliza eti magufuli karuhusu biashara.
Nchi hii ilifika katika Kiwango cha juu kabisa cha ujinga! Mungu katusaidia sana
 
How jobless? Wakati watu wamepangaa kwenye maeneo mapya ambayo yanawekewa utaratibu mzuri zaidi utakaofanikisha hata nchi kuanza kukusanya kodi kutoka kwenye hili kundi badae?
 
How jobless? Wakati watu wamepangaa kwenye maeneo mapya ambayo yanawekewa utaratibu mzuri zaidi utakaofanikisha hata nchi kuanza kukusanya kodi kutoka kwenye hili kundi badae?
Kiongozi, unajua huko wanakopelekwa hakuna wateja, wavumilivu ni wachache, wengi watajaribu kurudi na wengine kuacha kabisa coz mauzo yatashuka sana. Mfano ni pale Mbezi mwisho, wakiondokewa kupelekwa nyuma ya stand ya magufuli unadhani nani ataenda kununua bidhaa kule? Shana ya machinga ni kufuata mteja alipo, sio mteja kumufuata na sisi watanzania hatupendi kufuata huduma, tunapenda huduma zitufate, ndio maana machinga hawawezi kuisha.
 
Bora kwao ilikuwa ni kutengeneza pesa tu bila kuzingatia ustaarabu. Hatuwezi kuishi vile!!
 
Bora kwao ilikuwa ni kutengeneza pesa tu bila kuzingatia ustaarabu. Hatuwezi kuishi vile!!
Kama nchi lazima kufata sheria na maisha sio rahisi kwa yoyote Sasa machinga walikuwa wanajiona exceptional na ni wanyonge usiku nilipita watu wajiji wakivunja hvo vibanda aisee mitaro ilikuwa imejaa matakataka na hizi mvua zingeleta mafuriko na milipuko ya magonjwa, na sasa jiji linaonekana safi
 
Mbona kariakoo watu wanatoka Hadi nje ya nchi kufata bidhaa, hao watakaoshindwa na biashara kufa watafte kitu kingine chakufanya
 
Mtu kula yake hajui itakuaje,unamuambia habari za usafi?
Machinga ni kama result tu,huku sababu kubwa ikiwa ni ujinga na umasikini uliotopea.....
Kula ya mtu kila mtu apambano nayo hyo sio kigezo Cha kuchafua mazingira kisa kula au kuvunja sheria za road reserve na hao machinga wengi walikimbia vijijini penye unafuu na kuja mijini wakitegemea kupanga vitu kwenye mitaro na barabara za wapita miguu then waachwe tu wao ni nani?
Wengine wanalipia frame Malaki ya hela wao wanataka tu vitu free tu coz wanajiona ni exceptional kisa kula, tena nampongeza mama kwa kuwasafisha hao machinga
 
Mbona kariakoo watu wanatoka Hadi nje ya nchi kufata bidhaa, hao watakaoshindwa na biashara kufa watafte kitu kingine chakufanya
Ndio nikasema, baadhi wataishia kuwa vibaka. Matokeo yake tutayaona very soon!

I'm not against kuweka mji sawa though.
 
Ndio nikasema, baadhi wataishia kuwa vibaka. Matokeo yake tutayaona very soon!

I'm not against kuweka mji sawa though.
Hao vibaka Raia wataua tu hamna shida, na ukiona kibaka ujue ndio tabia yake wala haihusiki na umachinga wa holela
 
[emoji23][emoji23][emoji23]Yani Jana magari ya city yalikuwa yanazoa takataka kwenye mitaro hafu waachwe tu eti na vibanda wengine wanapika Hadi vyakula na hamna vyoo
Alafu kuna watu walikuwa wanatetea huu upuuzi! Watu weusi tunasikitisha sana
 
Kulikuwa na tabia za ajabu sana ilitengenezwa kwa watanzania! Watu hawataki kufuata taratibu na ustaarabu wa binadamu eti kisa kujiita mnyonge!

Walijipa hatimiliki ya kuvunja sheria, kuharibu miji, kuvunja utaratibu wa barabara zetu eti kisa wao ni wanyonge!

Huu ulikuwa ushamba uliotukuka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…