Kwa mara ya kwanza toka 1979 Tanzania inapata uhaba wa pesa za kigeni bila ya kuwa vitani

Ndani ya huu mwaka tutamaliza na 1USD =3000 shillings, tunafungua nchi, uwezo mdogo, akili zinawa makongamano na bandari tu
 
Mwanasesera ameiachia nchi ijiendee tu kiholela kama gombania goli
 
CHUKI ZAKO IPO SIKU ZITAKUUWA MWENYEWE,NCHI YETU KWA SASA INANUNUA MACHINERY NYINGI NJE KWA AJILI YA VYUMA VYA RELI,BAADHI YA VIFAA VYA GHARAMA KUBWA VYA DAMS ZA UMEME ZENYE UHITAJI WA MILLIONS OF DOLLARS,HAYA YAKIISHA HALI ITA STABILIZE.
NOTE THIS!
Visingizio vya kisenge mno , kwa hiyo reli ilianza kujengwa juzi baada ya huyu bibi kuingia ,au
 
Usitupange Kuna muda serikali iliweka sera nzuri ya ubadilishaji fedha. Wenye akili kuliko mwenye akili wakatoa hiyo sheria. Hahahha
Tuliwaambia mapema wajuajua wasiojua wakajifanya wajuaji zaidi ,sasa pesa zinatorosha kwenda huko shilingi inaachwa hapo ikiwa hoi
 
Mmefungilia goli maduka yafunguliwe Aya maduka yamefunguliwa yakowapi, magufuli alikuwa anajuwa nawakasema kunakamchezo kanafanyika Kati ya wafanyakazi wa b kuu naao wenye viduka kudadeki na bado,MTANIKUMBUKA KWA MAZURI
 
Nchi haiongozwi na mtu mmoja bali taasisi na mamlaka mbali mbali.sasa kila mamlaka na taasisi zuwajibike zisisubiri mpaka Rais wa nchi aone ndio atoe uamuzi.
 
Nakupenda sana we mama, with good precise and clear analysis.
 
Bado sauti haujatoka subri
 
Tunahitaji uchaguzi huru inawezekana waliopo sio waliochaguliwa kwa haki na Mungu anatuonesha walichokifanya kwa uwazi kabisa kuwa wameshindwa kuongoza nchi... Kikwete alisema 2025 ni Mama labda mambo yaharibike.. na kila uchao tokea alipozungumza haya hali ya nchi inakuwa mbaya mno hadi wanadiriki kuuza uhuru...
 
Tunanunua ndege kwa cash dollar

Tunalipa faini za mahakama za kimataifa kwa kuvunja mikataba kwa cash dollar
 
Mkuu

Majizi yalikuwa kifungoni miaka sita iliyopita, baada ya kufunguliwa yamekomba kila kitu na kurejesha mikononi mwao halafu serikali inapewa masharti ya kuzipata lazima wawape mchongo wagawane wote bila hivyo hawajali nani ataumia.
 
Mkuu

Majizi yalikuwa kifungoni miaka sita iliyopita, baada ya kufunguliwa yamekomba kila kitu na kurejesha mikononi mwao halafu serikali inapewa masharti ya kuzipata lazima wawape mchongo wagawane wote bila hivyo hawajali nani ataumia.
Hahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…