Wo shi niubi
JF-Expert Member
- Aug 14, 2015
- 1,353
- 1,784
Ndani ya huu mwaka tutamaliza na 1USD =3000 shillings, tunafungua nchi, uwezo mdogo, akili zinawa makongamano na bandari tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwanasesera ameiachia nchi ijiendee tu kiholela kama gombania goliMwaka 1979 baada ya Vita ya Kagera Tanzania ilipata uhaba mkubwa sana wa pesa za kigeni, uchumi ukayumba sana kutokana uhaba wa pesa za kigeni kwa ajili kununua vipuri viwandani, mafuta na bidhaa mbalimbali.
Sasa wakati ule tulisema nchi imefilisika kwa ajili ya vita. Tanzania ilikopa sana na kuchukua akiba yake kununua silaha za kujihami dhidi ya Amin Dada.
Kwa mara ya kwanza, toka mwaka 1979 nchi inapata uhaba wa pesa za kigeni. Tupewe sababu za uhaba huo.
Visingizio vya kisenge mno , kwa hiyo reli ilianza kujengwa juzi baada ya huyu bibi kuingia ,auCHUKI ZAKO IPO SIKU ZITAKUUWA MWENYEWE,NCHI YETU KWA SASA INANUNUA MACHINERY NYINGI NJE KWA AJILI YA VYUMA VYA RELI,BAADHI YA VIFAA VYA GHARAMA KUBWA VYA DAMS ZA UMEME ZENYE UHITAJI WA MILLIONS OF DOLLARS,HAYA YAKIISHA HALI ITA STABILIZE.
NOTE THIS!
Tuliwaambia mapema wajuajua wasiojua wakajifanya wajuaji zaidi ,sasa pesa zinatorosha kwenda huko shilingi inaachwa hapo ikiwa hoiUsitupange Kuna muda serikali iliweka sera nzuri ya ubadilishaji fedha. Wenye akili kuliko mwenye akili wakatoa hiyo sheria. Hahahha
Mmefungilia goli maduka yafunguliwe Aya maduka yamefunguliwa yakowapi, magufuli alikuwa anajuwa nawakasema kunakamchezo kanafanyika Kati ya wafanyakazi wa b kuu naao wenye viduka kudadeki na bado,MTANIKUMBUKA KWA MAZURIMwaka 1979 baada ya Vita ya Kagera Tanzania ilipata uhaba mkubwa sana wa pesa za kigeni, uchumi ukayumba sana kutokana uhaba wa pesa za kigeni kwa ajili kununua vipuri viwandani, mafuta na bidhaa mbalimbali.
Sasa wakati ule tulisema nchi imefilisika kwa ajili ya vita. Tanzania ilikopa sana na kuchukua akiba yake kununua silaha za kujihami dhidi ya Amin Dada.
Kwa mara ya kwanza, toka mwaka 1979 nchi inapata uhaba wa pesa za kigeni. Tupewe sababu za uhaba huo.
Nakupenda sana we mama, with good precise and clear analysis.Wazungu wameanza kuamini hao usiowaamini kuendesha Bandari zao, kuendesha ligi zao za Mpira, kuruhusu kuwekeza kwenye masoko yao ya mitaji n.k
Sasa Wewe usipowaamini wanapungukiwa nini?
Kama ukashindwa kumuamini Mtawala wa UAE aliwezesha kubadili maisha ya watu wake ndani ya muda mfupi kwa kuwa tu ni Muislam, Muarabu ukaenda kuamini kina Emmerson Mnangagwa, William Ruto na Yoweri Museveni kwa kuwa Weusi na Wakristo wenzio hilo ni tatizo lako binafsi
Huyo Muislam usiemuamini ndio kawahakikishia amani Wakristo wenzio waliokimbia Nchi baada ya kukoswa koswa kuuawa na Mkristo mwenzio
Huyo Mwislam ndio kawarudishia Mali zao Wakristo wenzio walioporwa na Mkristo mwenzio
Mdini Mkubwa Wewe Nyangalakata waahed
Bado sauti haujatoka subriMwaka 1979 baada ya Vita ya Kagera Tanzania ilipata uhaba mkubwa sana wa pesa za kigeni, uchumi ukayumba sana kutokana uhaba wa pesa za kigeni kwa ajili kununua vipuri viwandani, mafuta na bidhaa mbalimbali.
Sasa wakati ule tulisema nchi imefilisika kwa ajili ya vita. Tanzania ilikopa sana na kuchukua akiba yake kununua silaha za kujihami dhidi ya Amin Dada.
Kwa mara ya kwanza, toka mwaka 1979 nchi inapata uhaba wa pesa za kigeni. Tupewe sababu za uhaba huo.
We jua hivyoNchi gani
Wewe ni mdini, hufaiSijawahi kumwamini mwanamke, sijawahi kumwamini mwarabu, sijawahi kumwamini mzanzibar na sijawahi kumwamini muislamu kwenye mambo yoyote yanayohitaji matumizi makubwa ya akili.
MkuuMwaka 1979 baada ya Vita ya Kagera Tanzania ilipata uhaba mkubwa sana wa pesa za kigeni, uchumi ukayumba sana kutokana uhaba wa pesa za kigeni kwa ajili kununua vipuri viwandani, mafuta na bidhaa mbalimbali.
Sasa wakati ule tulisema nchi imefilisika kwa ajili ya vita. Tanzania ilikopa sana na kuchukua akiba yake kununua silaha za kujihami dhidi ya Amin Dada.
Kwa mara ya kwanza, toka mwaka 1979 nchi inapata uhaba wa pesa za kigeni. Tupewe sababu za uhaba huo.
HahahaMkuu
Majizi yalikuwa kifungoni miaka sita iliyopita, baada ya kufunguliwa yamekomba kila kitu na kurejesha mikononi mwao halafu serikali inapewa masharti ya kuzipata lazima wawape mchongo wagawane wote bila hivyo hawajali nani ataumia.