masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 17,576
- 20,183
Dah aliyewaambia pesa aileti furaha
aliwadanganya
aliwadanganya
WeeeeWanaosema pesa haileti furaha watakuwa hawajaonja utamu wa kulala mkikumbatiana na baby kwenye hotel iliyopo ufukweni mwa bahari huku mkipeana yote
Wanakuwa hawajui raha ya kusafiri Duniani (vacation) huku mkitembelea malls kubwa kufanya shopping huku mkilipa kwa kuchanja na kadi
Wanakuwa hawajaonja furaha ya kutoka na familia mkaenda kutalii Arusha national park huku mkichoma nyama ya swala
Hongera sana,hii kwangu ni kila mwakadah aliyewaambia pesa aileti furaha
aliwadanganya
MkuuDah aliyewaambia pesa aileti furaha
aliwadanganya
Mzee ifike mahala upeleke vijukuu vyako hata vacation moja vikapate experience, vinahanya hanya mnoo!!😂Wanaosema pesa haileti furaha watakuwa hawajaonja utamu wa kulala mkikumbatiana na baby kwenye hotel iliyopo ufukweni mwa bahari huku mkipeana yote
Wanakuwa hawajui raha ya kusafiri Duniani (vacation) huku mkitembelea malls kubwa kufanya shopping huku mkilipa kwa kuchanja na kadi
Wanakuwa hawajaonja furaha ya kutoka na familia mkaenda kutalii Arusha national park huku mkichoma nyama ya swala
😍❤️💓🍎👗🍷💘✨️🔥This June 🥰💃🏽
Fanya ukapumzishe ubongo hata week tu, stress zinapelekesha muda wote sukari iko active kupanda😆😍❤️💓🍎👗🍷💘✨️🔥
Pesa ni muhimu lakini sio kila kitu katika maisha ya mwanadamu. Please Learn the difference.Dah aliyewaambia pesa aileti furaha
aliwadanganya