Kwa mara ya kwanza Vacation na familia yangu

Kwa mara ya kwanza Vacation na familia yangu

Kabisaka isa raha ya pesa kwa kidume ni kuwazagamua warembo wazuri wazuri tuu tena hawanaga shida kushare šŸ† ya mwanaume mwenye ndalama
 
Wajukuu wangeambiwa kaeni mbali na yule mzee, nimefuatilia mazungumzo yenu na Seran nilitaka kumuonya kuwa karibu na wewe hata kwa mazungumzo tu, unamwambia wajukuu hawakuletei kiko yeye hakuelewi tu unamaanisha nini

Mara unamwambia sijui utapeleka ng'ombe kwao yeye haelewi tu,hajui mzee una code nyingi za kuwinda wajukuu
Naelewa sana! Namrahisishia kazi tu ajiokotee zake maana wanamuwaza sana mzee wa watu😁
 
Nimeshindwa kuelewa mjukuu tofauti zenu na mwenzio hapo ni nini hasa

Msije kuwa mnapishana kutokana na maneno ya uchonganishi ya watu humu

Mnaonaje mkaamua kuziondoa kwa kuyaongea private badala ya kuwapa wengine faida

Naomba ukiridhia tukutane pamoja tuongee

Tafuta nafasi siku hizi mbili tukae tuyajenge

Hapo Melamonte hotel - Sinza wana chakula kizuri sana, mnaonaje tukakaa hapo tuyajenge mjukuu
1780979708108.gif
 
Back
Top Bottom