Kwa mara ya kwanza Vacation na familia yangu

Babu hiyo mibibi michizi uwe unaigonga itulie iache nyege naona kila uzi kuongelea ujinga..!!

Anajitungia na kuforce umekutana naye liooongo hamna hata mwenye time naye.
Akupe risiti wapi tulisema?

Halafu km kakuelewa awe free asijizungushe mimi sio miongoni mwa masuria yako..!!

Km anataka kuwajua masuria wako aseme tumtajie halafu ajichuje anafit..!! 😹😹😹
Nimeshindwa kuelewa mjukuu tofauti zenu na mwenzio hapo ni nini hasa

Msije kuwa mnapishana kutokana na maneno ya uchonganishi ya watu humu

Mnaonaje mkaamua kuziondoa kwa kuyaongea private badala ya kuwapa wengine faida

Naomba ukiridhia tukutane pamoja tuongee

Tafuta nafasi siku hizi mbili tukae tuyajenge

Hapo Melamonte hotel - Sinza wana chakula kizuri sana, mnaonaje tukakaa hapo tuyajenge mjukuu
 
Hili naweza kukubaliana nalo, ukianza kutumia JF sio rahisi kuiacha
Yule bonge wa Zimbabwe aliyesababisha tutumie Vpn alizingua sana.

Kuna wakati hata yule kiongozi mkubwa no3 alikuwa anashiriki mijadala humu kipindi akiwa pale kwenye kibubu cha taifa. Sijui kama sasa anaendelea na utaratibu huo.
 
Kwa maoni yangu, mwenye kosa alikuwa mwenyeji.

Kawaida tukipiga picha, huwa tunachagua picha za kuweka kwenye social media na za kuzihifadhi ndani. Pale ndipo kosa lilipotokea

Ni kweli, naye alikwepo. Namba moja wetu naye yupo, ila anatumia 🆔 fiche 🤪
 
Hivi namba moja huwa anasoma literature za wengine ili kujua basics za uongozi?
Na namna ya ku address mambo mbalimbali ya kijamii kiufasaha?
 
Atakuwa anasoma, changamoto ni kwenye washauri
 
Nina bahati ya kuwa karibu na washauri wake.

Naweza kusema ana washauri wazuri ila labda kuna watu wenye ushawishi kuzidi hao washauri ndio wanaosababisha afanye blunders.
 
Anonymity ni muhimu sana

Unakuwa huru kuchangia mada tofauti bila hofu
Just imagine mzee mwenzangu mambo ambayo huwa unaandika humu halafu ndio wadau wakujue,naamini hata kwenye vikao vya mtaani hawatakualika kabisa🤣🤣
 
Kabisa, na wale wenye mabinti nyumbani wangeogopa hata kuniarika iftar

Kumbe niko tofauti na ninayoandikaga humu 🤗
 
Nina bahati ya kuwa karibu na washauri wake.

Naweza kusema ana washauri wazuri ila labda kuna watu wenye ushawishi kuzidi hao washauri ndio wanaosababisha afanye blunders.
Basi hapo mwenye shida aweza kuwa yeye mwenyewe

Ukishakuwa umekalia kile kiti hakuna wa kukubabaisha, unless hujajua position yako
 
Ila ukizungukwa na Kombo type of people lazima mambo yaende kombo.
 
Ni kukunja ndita tu, wataelewa boss hataki ujinga

Sometimes unawatolea pdf saa 9 za usiku, kila mzembe unalala naye mbele
Hizo pigo aliondoka nazo mwendazake Jeipiemu.

Mamaa ya Pwani haijazoea amsha amsha.
 
Kabisa, na wale wenye mabinti nyumbani wangeogopa hata kuniarika iftar

Kumbe niko tofauti na ninayoandikaga humu 🤗
Wajukuu wangeambiwa kaeni mbali na yule mzee, nimefuatilia mazungumzo yenu na Seran nilitaka kumuonya kuwa karibu na wewe hata kwa mazungumzo tu, unamwambia wajukuu hawakuletei kiko yeye hakuelewi tu unamaanisha nini

Mara unamwambia sijui utapeleka ng'ombe kwao yeye haelewi tu,hajui mzee una code nyingi za kuwinda wajukuu
 
Huwa napenda kutaniana nao tu humu, nje ya JF huwa niko tofauti kabisa

Kuna mmoja alinifata akihisi nimemkula kweli baby yake, kumbe wala

Ninachoandika na nikifanyacho ni tofauti kabisa
 
Mpaka mjukuu ajue kutofautlsha mzee wa jf na wa nje ya jf ujue anajikuta ashaliwa tayar
 
Back
Top Bottom