Sukari Mwenzake PressureFanya ukapumzishe ubogo hata week tu, stress zinapelekesha muda wote sukari iko active kupanda😆
Unatania sio?Dah aliyewaambia pesa aileti furaha
aliwadanganya
Msemo sahihi ni PESA SIO KILA KITU. Pesa inaweza kuleta furaha.sana tu.Pesa haileti furaha.
Hiyo ni misemo ya kujifariji tu!!!!
Nini mbaya mjukuu 🤭Weeee
Tatizo la wajukuu hawataki kuniletea Kiko babu yao hadi nakaribia kupigwa na baridi 🤪Mzee ifike mahala upeleke vijukuu vyako hata vacation moja vikapate experience, vinahanya hanya mnoo!!😂
national park
Yaani pesa kukupa furaha ni posibility tu. Sio kwamba ni lazima ilete furaha ukiwa nayo, au nimekuelewa vibaya mkuu??Msemo sahihi ni PESA SIO KILA KITU. Pesa inaweza kuleta furaha.sana tu.
watakuwa hawajaonja utamu wa kulala mkikumbatiana na baby kwenye hotel iliyopo ufukweni mwa bahari huku mkipeana yote
Haswaa..aliyeanzisha huu msemo bila shaka ni mchawiPesa haileti furaha.
Hiyo ni misemo ya kujifariji tu!!!!
kuna happiness na joy. wengi mnapata happines mnahisi mnapata joy.Dah aliyewaambia pesa aileti furaha
aliwadanganya
Hapo ukimpeleka baby wako, hata kama alikuwa anaishia kukupa kwa kupima, siku hiyo lazima akupe vyote 🤗
Hivyo vyote huwezi kuvifanya kama mfukoni huna jambo
Sio kwa ubaya laakini hela sio matako kwamba kila mtu anazo eti hazileti furaha ukiwasikiliza shauri yako wanakwambia pesa hainunui furaha huo ufukara unanunua nini? na hio vacation usiende mbali kumbuka kuna kurudi najua wewe umeenda likizo ila kuwaza hela hakuna kwenda likizoDah aliyewaambia pesa aileti furaha
aliwadanganya
Pesa inanunua bia na bia inakupa furaha bwasheeMoney can't buy you happiness that's true as hell
But happiness can't buy yo ass this new SL-J Cole
Tafsiri Kwa kindengereko.
Pesa haziwezi kununua furaha, hilo ni kweli kabisa. Lakini furaha haiwezi kukununulia hili gari jipya la SL."
Unahitaji kuwa na pesa Tena za kutoshaa.Nyingine ni blaah blah tu.Pesa inanunua bia na bia inakupa furaha bwashee
Bwashee pesa ni tamu ,mno mimi naisaka naona utamu wakeUnahitaji kuwa na pesa Tena za kutoshaa.Nyingine ni blaah blah tu.