Nimeshindwa kuelewa mjukuu tofauti zenu na mwenzio hapo ni nini hasaBabu hiyo mibibi michizi uwe unaigonga itulie iache nyege naona kila uzi kuongelea ujinga..!!
Anajitungia na kuforce umekutana naye liooongo hamna hata mwenye time naye.
Akupe risiti wapi tulisema?
Halafu km kakuelewa awe free asijizungushe mimi sio miongoni mwa masuria yako..!!
Km anataka kuwajua masuria wako aseme tumtajie halafu ajichuje anafit..!! 😹😹😹
Hili naweza kukubaliana nalo, ukianza kutumia JF sio rahisi kuiachaAu wametengeneza ma parody yao
Wanashiriki mijadala kimya kimya.
Yule bonge wa Zimbabwe aliyesababisha tutumie Vpn alizingua sana.Hili naweza kukubaliana nalo, ukianza kutumia JF sio rahisi kuiacha
Kwa maoni yangu, mwenye kosa alikuwa mwenyeji.Yule bonge wa Zimbabwe aliyesababisha tutumie Vpn alizingua sana.
Ni kweli, naye alikwepo. Namba moja wetu naye yupo, ila anatumia 🆔 fiche 🤪Kuna wakati hata yule kiongozi mkubwa no3 alikuwa anashiriki mijadala humu kipindi akiwa pale kwenye kibubu cha taifa. Sijui kama sasa anaendelea na utaratibu huo.
Hivi namba moja huwa anasoma literature za wengine ili kujua basics za uongozi?Kwa maoni yangu, mwenye kosa alikuwa mwenyeji.
Kawaida tukipiga picha, huwa tunachagua picha za kuweka kwenye social media na za kuzihifadhi ndani. Pale ndipo kosa lilipotokea
Ni kweli, naye alikwepo. Namba moja wetu naye yupo, ila anatumia 🆔 fiche 🤪
Atakuwa anasoma, changamoto ni kwenye washauriHivi namba moja huwa anasoma literature za wengine ili kujua basics za uongozi?
Na namna ya ku address mambo mbalimbali ya kijamii kiufasaha?
Nina bahati ya kuwa karibu na washauri wake.Atakuwa anasoma, changamoto ni kwenye washauri
Just imagine mzee mwenzangu mambo ambayo huwa unaandika humu halafu ndio wadau wakujue,naamini hata kwenye vikao vya mtaani hawatakualika kabisa🤣🤣Anonymity ni muhimu sana
Unakuwa huru kuchangia mada tofauti bila hofu
Kabisa, na wale wenye mabinti nyumbani wangeogopa hata kuniarika iftarJust imagine mzee mwenzangu mambo ambayo huwa unaandika humu halafu ndio wadau wakujue,naamini hata kwenye vikao vya mtaani hawatakualika kabisa🤣🤣
Basi hapo mwenye shida aweza kuwa yeye mwenyeweNina bahati ya kuwa karibu na washauri wake.
Naweza kusema ana washauri wazuri ila labda kuna watu wenye ushawishi kuzidi hao washauri ndio wanaosababisha afanye blunders.
Ila ukizungukwa na Kombo type of people lazima mambo yaende kombo.Basi hapo mwenye shida aweza kuwa yeye mwenyewe
Ukishakuwa umekalia kile kiti hakuna wa kukubabaisha, unless hujajua position yako
Ni kukunja ndita tu, wataelewa boss hataki ujingaIla ukizungukwa na Kombo type of people lazima mambo yaende kombo.
Hizo pigo aliondoka nazo mwendazake Jeipiemu.Ni kukunja ndita tu, wataelewa boss hataki ujinga
Sometimes unawatolea pdf saa 9 za usiku, kila mzembe unalala naye mbele
Angekomaa ili kurudisha nidhamu Serikalini, japo najua isingekuwa rahisiHizo pigo aliondoka nazo mwendazake Jeipiemu.
Mamaa ya Pwani haijazoea amsha amsha.
Wajukuu wangeambiwa kaeni mbali na yule mzee, nimefuatilia mazungumzo yenu na Seran nilitaka kumuonya kuwa karibu na wewe hata kwa mazungumzo tu, unamwambia wajukuu hawakuletei kiko yeye hakuelewi tu unamaanisha niniKabisa, na wale wenye mabinti nyumbani wangeogopa hata kuniarika iftar
Kumbe niko tofauti na ninayoandikaga humu 🤗
Huwa napenda kutaniana nao tu humu, nje ya JF huwa niko tofauti kabisaWajukuu wangeambiwa kaeni mbali na yule mzee, nimefuatilia mazungumzo yenu na Seran nilitaka kumuonya kuwa karibu na wewe hata kwa mazungumzo tu, unamwambia wajukuu hawakuletei kiko yeye hakuelewi tu unamaanisha nini
Mara unamwambia sijui utapeleka ng'ombe kwao yeye haelewi tu,hajui mzee una code nyingi za kuwinda wajukuu
Mpaka mjukuu ajue kutofautlsha mzee wa jf na wa nje ya jf ujue anajikuta ashaliwa tayarHuwa napenda kutaniana nao tu humu, nje ya JF huwa niko tofauti kabisa
Kuna mmoja alinifata akihisi nimemkula kweli baby yake, kumbe wala
Ninachoandika na nikifanyacho ni tofauti kabisa
Sio kwa Mzee Mimi, nimechagua kula kwa macho tu 😅Mpaka mjukuu ajue kutofautlsha mzee wa jf na wa nje ya jf ujue anajikuta ashaliwa tayar
Mamlaka anayoAngekomaa ili kurudisha nidhamu Serikalini, japo najua isingekuwa rahisi
Hakika MkuuMamlaka anayo
Nafikiri amekosa tu nia.
Akifanikiwa kupata nia mambo yatakuwa mazuri