Uchaguzi 2020 Kwa mara ya kwanza watanzania tunashuhudia Chama cha Siasa chenye mgombea Urais 100% Kibaraka


Ni kweli kabisa. Ushahidi mwingine wa hicho ulichosema huu hapa:

 
Mabeberu ndio wawekezaji,,, Bidhaa nyingi tunatumia zinatoka kwa mabeberu,, bajeti yetu inachangiwa na mabeberu,, Miradi mikubwa inafadhiliwa kwa hisani ya mabeberu,, ARV ni kwa hisani ya mabeberu,, Uzazi wa mpango ni kampeni kwa hisani ya mabeberu,,

Wote hao wana baraka za serikali na wanaitwa wafadhili..

Kimahesabu utagundua watanzania wote ni vibaraka wa mabeberu..

TUJIFUNZE KUJITEGEMEA.
 
Mwaka huu mtaongea herufi zote hadi mb@@ ikatikie mumo humooo
 
Wrong Historical-created mindset, isingekuwa hawa jamaa Africa tungekuwa mbali sana. Tatizo kukosa kujiamini mkuu, but tunaweza tukiwa na win win strategy.
 
Mkuu, kama Africa tungekuwa na maono km Mwl Nyerere, Magu, Nkwame, tungekuwa very far
 
Mkuuu hayo yatashuka kutoka mbinguni? Si yanahitaji maandalizi? na maandalizi ni elimu pekee.Hatutaki kuwekeza kwenye elimu alafu tunahitaji mapinduzi it is a nocens.China walikubali kutumia gharama kubwa kiwekeza kwenye elimu waliyowapa vijana wao leo hii matokeo unayaaona.

Magufuli ningemuona ni mtu makini kama angekuja na idea ya kuwekeza kwenye elimu ili Siku moja akumbukwe.Yeye haoni uzuni kila kitu kufanyiwa na wataalam kutoka nje na pesa yetu yote inaenda kwao ,sasa tutamkumbuka kwa lipi kama hana uwezo wa kufikiria hayo?

Anasema tujitegemee wakati huo huo anataka waje wachimbe madini,anataka mbegu za kilimo zitoke kwao ,anataka madawa ya binadam yatoke kwao na kila kitu ,lakini kujipa muda kuwa ikifika muda fulani hatutaki watupe hayo hizo akili hana.
 
WHAT AN IDIOT, LOSER! Kujua kiingereza ndo iwe sifa ya mgombea URAIS?? Nakuhakikishia mtu wako Lisu hatoboi hata nusu ya kiingereza changu. But I'm not necessarily a good leader.
Thank you very much chief, hawa jamaa ni cancer ya taifa, lazima itibiwe
 
Na wewe unawasemea Watanzania wa wapi, labda waliooshikiwa akili na M/kiti Fulani ambaye Chama na wanachama wa hicho Chama anajinufaisha Kwa biashara zake na wasiseme chochote
Ndiyo shida ya wapinzani wetu, wako kimaslahi binafsi sana
 
Tundu Lissu kawashika MATAGA kunako.....
 
As I said, vijana wengi hawajaujua upande mwingine was Tundu Lissu. Ila ile in sumu mkuu.
Hivi hayati Ben alifanyaje? Mbona aliwabinafsisha wazungu mpaka basi? Lakini mbona mmemsifiia kuwa ni shujaaa? Magu kama anaipenda Tanzania kweli kweli kwanini hataki kubadilisha mgumo wa elimu na akahakikisha kodi za wananchi zinawekezwa kwenye elimu iliyo imara na yenye ukombozi kwa watu?
 
Tapeli wewe na CCM yakp

Sent from my MRD-LX1F using JamiiForums mobile app
 
Haya ndiyo mawazo yanayotakiwa kutolewa ili kumshauri Mh. Raisi aliyeko madarakani. Nchi hii ni yetu sote.
 
Watanzania wananchi wa wapi unawasemea ? au watanzania wa gheto kwa cyprian Musiba?Maana watanzania wenye Akili timamu hawapo na CCM hawataki kuisikia CCM kabsa
Bila ccm nchi hii itayumba mkuu, bado hatujapata wapinzani makini
 
Kwanza CCM ndio mnaongoza kuwa na VVU. Sasa shauri yenu hao mabeberu waje wakate mirija ya zile ARV kwa kuwasema vibaya. Tunawazika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…