Kwa miezi 12 sasa moyo wangu unateketea. Nahisi huyu Mtoto sio wangu

Hahahah yani we acha tu kulea bao la mtu stress sana.
Nakuelewa, ila hapo ni kukaza moyo tu na kuishi kama vile hakuna hilo.. Vinginevyo kama moyo unashindwa himili inabidi utafute ukweli kupitia vipimo. Hapo sasa ndio utajua ukweli na namna ya kudili nao. Pole mkuu... Ukubwa sio umri ni kukabiliana na changamoto kwa busara....
 
Tafuta milioni ukapime DNA , ila hakikisha una moyo mgumu haswa na hofu ya Mungu ili ikitokea ndivyo sivyo basi usidhuru mtu au kujidhuru mwenyewe. kama unajua huna moyo mgumu na hofu ya Mungu Usipime DNA maana kuuwa ni nje nje.

Kupima DNA ni laki tatu tuu baba, mama na mtoto unaemuhisi.. hiyo laki saba inayo baki ni mwanasheria , nauli , malazi na chakula
 
Uko wapi mkuu? Kuna dawa natafuta
 
Pima DNA tena sio bongo nenda south au kenya ukipima bongo utaambiwa mtoto ni wako
 
kama unajua huna moyo mgumu na hofu ya Mungu Usipime DNA maana kuuwa ni nje nje.
Huenda ni wangu sema wasi wasi ndio akili.

Moyo ninao. Siwezi kudhuru Mtu mimi ni mtumishi wa Mungu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…