Aisee!Pia mwizi akiiba hy pro max Na akiiba hy simu yako ya laki tatu, zote hizo ataenda kuuza laki mbili mbili π
Ulinunua latest au refurb?Kuna Moja nilikuwa nayo now nimeishia kumpea mama watoto ilikuwa miyeyusho sana za makumbusho sema zinatuokoa sana gademiti
Zimefika! Kalala mimi nachatMpe hii janja hapo mwambie anko wako kutoka kigamboni anakusalimia
Nimecheka sana na Kuna wale wa mwenge bei zao ndio kama hizo hapo mlimani πHao waizi
Kisa wako Mlimani City
Tumewaacha na Google Pixel zenuWanyonge tuachwe na Mchina wetu π₯Ήπ₯Ή
Naomba moja mkuu nitoke kwenye hiki kimeo nilicho nacho.Ila maisha haya! Kuna kipindi niliibiwa simu chuo nilikaa miezi 2 mpaka kuja kupata simu nyingine
Ila sasa hivi nina simu 2 na moja ipo tu
kweli ya kesho aijuaye ni Mungu.
Fanya window shop kwanza, maduka hata 9. La 10 ndio unaenda kununua π€£Nimecheka sana na Kuna wale wa mwenge bei zao ndio kama hizo hapo mlimani π
Bora hicho kimeo chako kuliko hiki changuπNaomba moja mkuu nitoke kwenye hiki kimeo nilicho nacho.
π badili washkaji ulio naoMasaa mawili machache hivyo!
Wiki au mwezi kabisa ! Hadi mshahara utoke!
si unajua wabongo tunavyojua kukomoana! Yaani ni mwendo wa kuoverprice mpaka kero! Mi mwenyewe yashanikuta!Hao unamlipia mpaka mlinzi wao⦠huku Makumbusho mbona Gb 256 haifiki hata 4M
Kabisa π ππFanya window shop kwanza, maduka hata 9. La 10 ndio unaenda kununua π€£
Kuwa mpare, hela ishikane na ngozi
Tumewaacha na Google Pixel zenu
Mara pixel 4. Kinazimika muda wowote bila taarifa ππ
Ila maisha haya! Kuna kipindi niliibiwa simu chuo nilikaa miezi 2 mpaka kuja kupata simu nyingine
Ila sasa hivi nina simu 2 na moja ipo tu
kweli ya kesho aijuaye ni Mungu.
Hiyo simu uwa inanichekesha π€£Mkuu kwani huwezi kusifia simu yako bila kutaja taja simu zetu π
Naomba 1, mie nina kiswaswadu.Ila maisha haya! Kuna kipindi niliibiwa simu chuo nilikaa miezi 2 mpaka kuja kupata simu nyingine
Ila sasa hivi nina simu 2 na moja ipo tu
kweli ya kesho aijuaye ni Mungu.
Mzee mwenzangu Happy new year..!!Bora heka za shamba..
Hilo gari ukinunua ni umeongeza matatizo
Tunashare mkuu hii gari nikiiona tu lazima nitumbue macho naisindikiza mpaka inazamaBMW π€, my Dream Car ngoja niendelee kupambana π
Nashukuru tumeuona 20,26.Mzee mwenzangu Happy new year..!!