Kwa Mil 6 Unapata iPhone 17 Pro Max Bila Charger wala Cover au BMW 3 Series na chenji ya Service!

Endelea kufananisha pia kiwese na vifurushi.
 
Kuna jamaa yangu ana hii BMW 3 series no E anauza 6m, ukiwa serious njoo inbox
 
Nataka ile wiki hii nipo Madrid nacheki El classico then narudi bongo napoa baada ya muda niende ibada Vatican.
Maisha haya mafupi Yaani kabla hujastaafu uwe umeziona at least nchi hata 40
Mimi nimefikisha 32 kwa miaka 43
Nenda kaione dunia baba
 
Mim nilichelewa sana kujua kama kunq simu za pesa ndefu namna hyo,mwaka juzi nikaambiwa kuna mtoto wa tajiri kijijin kwetu ana iphone ya mil 3 afu ndo alikuwa katoka chuo,sikuamin ikabid niulize watu wakaniambia eee zipo simu za bei hyo na hapa tz watu wanazo,nilbak kushangaa

Sema mzee wa huyo binti(mwanachuo) najua alikuwa hata hajui kama mtoto ana simu ghali hvyo,maana mzee yeye ana kitochi tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ