BANDOKITITA
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 1,484
- 2,852
Tatizo tz ni nani wa kufuatilia huo ushaidi. Okay, Kigwa keshasema, sasa unadhani ni jukumu la nani kuthibitisha lisemwalo. Labda km wewe siyo raia wa tz. Wa tz wanafahamiana vyema kwa tabia zao, mienendo na akili zao.Kwa hiyo tuwe tunahukumu watu bila ushahidi?Yaani mjinga mmoja akikurupuka tu tukukamate na uwekwe ndani.Hata China wafujaji wa mali ya umma na wala rushwa wanapigwa risasi lakini ni baada ya kufikishwa mahakamani.
Kajiua mwenyewe na Covid
Nakazia, huyu boya nilimuona bwege alipopewa uwaziri utalii, badala ya kuja na mpango kazi wake yeye kila siku ni kumnanga aliyekuwa waziri kabla yake,kenge tu huyo, anatafuta uteuzi,Ukiona kiongozi wa bongo anaropoka kama ivi ujue.....kuna mgao hamjafikia...sasa zile hasira zinashia kama hv
Swali zuri mno. Kikwazo ni raia. Hatujitambui. Kuna mzee mmoja, ni marehemu sasa hivi, siku moja aliniumbua sana. Nilisema hivi ilikuwaje waarabu wanakuja kuchukuwa watumwa, wanawafungasha bogi la mstari mrefu wakati wenyewe wako watatu tu na raia wanakaa kimya? Akanijibu mbona siku hizi polisi anafanya unyama mtaani, anaua raia bila kosa na sisi tunakaa kimya?Mbona hiyo nguvu ya umma haifanikiwi Tanzania ? kwa kuna ni Tanzania ambacho ni kikwazo.
Kimsingi huyu Hamisi hana hadhi yoyote ya kumfanya kuwa mbunge achilia mbali waziri. Ni mfumo songombingo wa nchi ndiyo umemfanya akafika hapo. Halafu hawa ni wale watu wa ''nitokeje leo''? Ila hilo la viongozi kuwa na nyumba za gharama ni ukweli sema tu hawezi kusema kwani wote ni mafisi na hupiga kelele yanapokuwa hayako kwenye ulaji.Bila kuleta ushahidi wa kutosha kwenye hii kauli yake hiyo ni hearsay.
Kama waziri wa zamani angekusanya hizo facts zake na kuleta habari kamili yenye ushahidi.Asipofanya hivyo hizo ni kutupa jiwe baharini na kutegemea italeta mabadiliko.Hamisi ashaauriwe aache tabia ya kuropoka bila hard facts.Inashusha hadhi yake na kuonyesha uwezo wake wa kufikiri ulivyo mdogo.
Wacha kuleta sweeping statements za watanzania tunafahamiana.Ukileta acussations zozote basi burden of proof ipo juu yako.Hivyo ndio inavyotakiwa iwe.Tusiwe jamii ya watu inayoaamini katika kupakaziana na kuamini majungu.Tatizo tz ni nani wa kufuatilia huo ushaidi. Okay, Kigwa keshasema, sasa unadhani ni jukumu la nani kuthibitisha lisemwalo. Labda km wewe siyo raia wa tz. Wa tz wanafahamiana vyema kwa tabia zao, mienendo na akili zao.
Okay, let's assume ni kweli mhusika unadhani atafanywa nini, na nani. Wewe endelea kulilia ushaidi siku ukishtuka ................
Sasa wananchi wafanye nini?! [emoji3][emoji3][emoji3]
Wakiandaa mapinduzi na mbinu za kimyakimya mashushu waliowekwa kuilinda system ya wizi ya CCM wamejaa kila kona... mwisho wa siku yanabumburuka mnatekwa mnaenda kuteswa na kuuwawa kusikojulikana na hao usalama wa CCM.
mkitaka kuandamana WAPUMBAVU na wao wanamwaga wanajeshi wao siku husika wafanye usafi.
Mkilalamika mitandaoni mnafuatiliwa mnakamatwa mnapewa kesi au mnapotezwa.
Mkitaka kuiondoa CCM kwa njia ya uchaguzi wanageuza tu maana wao ndo wanaoamua. Hata kama wameshindwa uchaguzi, kulia inaenda kushoto..., kushoto inaenda kulia matokeo hadharani CCM inaendelea kupeta. Mfano:- (2015)
Mkitaka kukimbia nchi mnawekewa vikwazo... kupata passport ni kama kupata madini ya tanzanite au almasi
Ajira wanapeana wao kwa wao.
Wananchi wafanye nini?!
Watanzania wamezidiwa na wale wanafunzi wa Soweto waliopigana na buru wakitumia mawe ?kama ndio hivi tuache kulalama
Na ndiyo wasioelewa waelewe sasa ni kwanini watawala na viongozi hawa wezi wa mali ya umma wanatumia kila njia haramu kubaki madarakani...Mahojiano ya Daktari Kigwangala yametupa ufunuo na kutupa maswali inawezekana vipi Kiongozi wa Tanzania akanunua nyumba shilingi bilioni 25 uko Dubai,na wengine wamenunua nyumba za bilioni 6 Masaki,je wamelipwa kitu gani hadi wamepata pesa hizo,je wameuza nini hadi kupata fedha hizo!? Je ni bandari,Mlima,Mbuga au madini!?
Mahojiano ya Daktari Kigwangala yametupa ufunuo na kutupa maswali inawezekana vipi Kiongozi wa Tanzania akanunua nyumba shilingi bilioni 25 uko Dubai,na wengine wamenunua nyumba za bilioni 6 Masaki,je wamelipwa kitu gani hadi wamepata pesa hizo,je wameuza nini hadi kupata fedha hizo!? Je ni bandari,Mlima,Mbuga au madini!?
Yes mkuu, Tiss ipo kulinda status ago, tiss ya uhalika iliyokuwa na heshima ni ya awamu ya kwanza tu,zingine wapigaji tu
Ukifahamu hayo utafanya nini?au ndio ushujaa wa key boards