Mapensho star
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 3,052
- 4,104
hivi kwa kuuza vijuisi hivyo tanzania tu watu wanataka kulipwa na sawa na kampuni kama puma au adidas ambazo zinauza bidhaa dunia nzima gharama ni kubwa sana za uzalishaji kiwandani kibaya zaidi serikali inategemea kupata kodi kubwa zaidi viwandani ndo mana wawekezaji hawategemei kipato kimojaNi Kweli kuna TAJIRI ana wiwanda vikubwa kibarua anamlipa Tsh 3000 kwa siku,mie nashangaa Waziri wa kazi/Ajira na Waziri wa Viwanda wapo tu kutwa kwenye Majukwaa kupiga bla bla za chama badala ya kwenda field kutetea maslahi ya wafanyakazi,hivi 3000 kwa siku inatosha?
Nani kasema walipwe sawa na kampuni ya puma au adidas?hivi kwa kuuza vijuisi hivyo tanzania tu watu wanataka kulipwa na sawa na kampuni kama puma au adidas ambazo zinauza bidhaa dunia nzima gharama ni kubwa sana za uzalishaji kiwandani kibaya zaidi serikali inategemea kupata kodi kubwa zaidi viwandani ndo mana wawekezaji hawategemei kipato kimoja
Kwa mara ya kwanza nimesoma point toka kwako. Nimefurahi... Nitapata usingizi mzuri leo.
Mkuu naomba nifafanue hapa kuhusu hicho Kidogo wanachopata. Hii nafasi ya hawa SalesPerson cum driver, wanapewa Allowance ya Tsh. 100 katika Kila Carton 1 ya Maji au Soda. Akiuza Carton 100 kwa siku Ana Tsh. 10,000/= x siku 26 ni 260,000/= kwa mwezi, wakati mwingine hata Jumapili wanaingia kazini. Hapo ni kama Ameuza Cartons 100, wapo ambao wanauza mpaka cartons 500 per day. Ukiangalia huu mfumo ndo wenzetu wa Nchi zilizoendelea wanatumia, yani mtu alipwe kulingana na alichozalisha. Utaona kwa sisi ambao tunapenda Kazi ya Sales, hatuangalii Mshahara, Tunaangalia percentage on Commission based. Ugonjwa mkubwa wa Watanzania waliyo wengi anataka aone fixed salary ili apate mtelemko kila mwisho wa mwezi. Yani ufanye kazi usifanye mwisho wa mwezi hela yako iingie. Huu Upuuzi ambao matajiri wengi walishaachana nao. Hata ningekua ni Mimi lazima nione unachozalisha katika kampuni ndo nikupe mshahara mzuri. Watanzania Tubadilike. Vijana wengo mnaotoka chuoni mkiambiwa njoo ufanye kazi ya Commission hamtaki kwasababu mnapenda mitelemko. Dunia imebadilika. Mwisho, Hiyo 130,000/= wanalipwa kama hela ya Kujikimu tu In case hajafanya mauzo mwezi mzima, lakini kinyume chake Commission wanazopata ni kubwa maradufu kuliko mshahara ambao ww umelalamikia hapa. Asante
Sawa,.ila mpaka umpate huyo mwema si Leo wala kesho.Sio wote bibie.
We nae ni muongo tu,tangu lini dereva wa daladala akalipwa mshahara,tena inaelekea hata hujawahi kufanya biashara ya basi.Kwahiyo mm ninaemlipa dereva wangu wa daladala 120000 nina afadhali kuliko mo dewji[emoji30]
nbonas mkuu hazitambuliki kisheria, zinaweza kuwepo au zisiwepo.
Mshahara gani upo chini ya kima cha chini kwa kampuni ya Tajiri namba moja?
Huu ni unyonyaji mtupu.
katengeneza ajira kwa watu zaidi ya 60,000. sasa ni bora wapate hicho kidogo au wasiajiriwe kabisa. Half a loaf is better than no bread.Halaf utakuta akihojiwa anasema katengeneza ajira kwa watanzania 5000
Sio hasira man,ila nataka kumweleza tu huyo asikariri maisha madereva wa vidala wengi ss hivi wanalipwa,na yote hiyo mwenye gar uweze kumpa dreva masharti ya kaziHizo hasira unazitoa wapi? Dont take life so serious. Hii ni blog