Kwa mshahara wa Tsh. 765,000/= nikizama benki naweza kopesheka kiasi gani?

Wewe ni kada wa ccm unajua jinsi ya kuibia nchi. Mleta mada sio kada kama wewe.
 
Na hata hiyo biashara iwe biashara inayo operate na sio akope kufungua biashara.
 
Umekamilisha nyumba ya million 13?
 
Nawishi kuchukua loan kozi life limekua likinichapa sana, wataalamu nipeni uzoefu sana.

Je, nitaweza kopesheka shingapi kwa benki ya CRDB kwa hio salary?
Kama unaweza bora ujibane...save kadri unavyoweza ili utatue tatizo lako. Au save kadri uwezavyo ili ufungue biashara kwa pesa yako ya ku save. Ukiona inaenda vizuri ndio ukope!

Tunakupa ushauri kulingana na uzoefu wetu. Kazi kwako.
 
Hapo Hadi 25 m kwa miaka tisa unaichangia bank kujiendesha.utarejesha zaido ya 40m.
Kukopa Raha kulipa matanga unarejesha hela zilizoshatumika kwenye hasara
Huyu mtu akichukua mikopo 2 ya 25m akiwa kazini mpaka anastaafu atakuwa ametumia miaka 18 kulipa riba za mikopo

Mikopo ni wendawazimu
 
Huwezi kuhalalisha wizi kuwa kipato halali, hiyo take home yako inatosha Kwa bill ya umeme, maji na chakula labda cha wiki moja tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…