Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
uko wapi mkuuJamani naomba msaada wenu,nina mtaji wa laki tano tu, naitajikufanyabiashara,nasijui nifanye biashara gani,iliniweze kutimiza malengo yangu.
starrony[U said:[/U];4873093] Jamani naomba msaada wenu,nina mtaji wa laki tano tu, naitajikufanyabiashara,nasijui nifanye biashara gani,iliniweze kutimiza malengo yangu.
uko wapi mkuu
Mkuu Mshauri tu kama vipi coz inawezekana wengi wakafaidika na ushauri wako.
Asante kwa kuonesha moyo wa kusaidia.
uko wapi mkuu
Jamani naomba msaada wenu,nina mtaji wa laki tano tu, naitajikufanyabiashara,nasijui nifanye biashara gani,iliniweze kutimiza malengo yangu.
Kama unategemea fedha hizo hizo kwa kukodisha mashamba, kununua mbegu, mbolea, kulipa vibarua, kulinda na shughuli nyingine za shamba; fedha hizo hazitoshi. Hata tukisema shamba lako na utalima, kupanda na kupalilia,kulinda na kufanya shughuli zotemwenyewe bado utahitaji mbegu, mbolea, usafiri.
Pole sana mkuu.
Subiri wataalam wa kilimu watakushauri.
Pia kumbuka hilo jina lako linaweza kukugharimu.
Majina/maneno yanaumba.
Asante mkuu,mashamba tayari nimekodi maeneo ya Kiteto Kilosa,ni mashamba yenye udongo wenye rutuba yasiyohitaji mbolea,niwaza labda nianzie na heka mbili kutokana na mtaji mdogo!kwa kulima shamba kule ni 35,000= mpaka 40,000/= kwa heka!kupanda ni 15,000/= kwa heka!tatizo sijawa mzoefu na kilimo kwa kua ndio naanza ndio maana nahitaji ushauri wenu wakuu!
Usikatishwe tamaa, maamzi yako ni mazuri. Minimkulima na kidogo nina uzoefu. Sifahamu jiografia ya moro. Kwa Sumbawanga unaweza. Mpunga kukodi ekari 1 ni laki 1. Kulima kila eka elf 25. Huhitaji mbolea. Ni very fertile. Shughuli zote unaweza baki na change. Na mavuno si chini ya gunia 20. Faida ni zaid ya mara 4.