Jodoki Kalimilo
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 12,559
- 11,180
850 kwa hisa mojanunua hisa Vodacom..hisa moja tsh elfu nane
Unanunuaje hizo hisa?ukitapeliwa utamdai nani?nunua hisa Vodacom..hisa moja tsh elfu nane
hisa zinauzwa kwenye ofisi za Vodacom mkuu huwezi kutapeliwaUnanunuaje hizo hisa?ukitapeliwa utamdai nani?
Bia 3 laki 3??????Hela hiyo ni mtaji mkubwa sana kama upo kijijini. Unaweza uka fuga au kulima. Ila kwa mjini ni hela ya kula bia mbili tatu weekend na nyama choma inaisha.
Ni kweliHela hiyo ni mtaji mkubwa sana kama upo kijijini. Unaweza uka fuga au kulima. Ila kwa mjini ni hela ya kula bia mbili tatu weekend na nyama choma inaisha.
Ucjali ndugu njoo tyu uchukue kwan hyo n hela nyngi mnoNikopeshe ntakulipa 50000 kwa kila mwezi ndan ya mwaka mzm
Hela hiyo ni mtaji mkubwa sana kama upo kijijini. Unaweza uka fuga au kulima. Ila kwa mjini ni hela ya kula bia mbili tatu weekend na nyama choma inaisha.
Kwani hela ya bia inatakiwa iwe kiasi ganMuache uongo na kuwadanganya wenzenu.
Laki 3 bia za nchi gani?
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] JF ina mambo sana....Siku ikitekwa nitauguaKwani hela ya bia inatakiwa iwe kiasi gan