Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

Kiongozi iyo laki 3 ukiwa nayo hapo mjini daslamu na ukaamua kufanya biashara ya mkaa kwa kumuuzia Mteja wa mwisho yaani mtumiaji, sii haba unaweza ukapiga hatua kadhaa mbele, tena zaidi ukute unafahamiana na madereva wa malory ili wakusafirishie from kijijin mfn koromije wewe uwe ni kupokea na kuingiza sokoni tuu
 
Inategemea mkoa ulipo. Kama kanda ya ziwa,
Nunua baiskeli , ingia vijijini, nunua kuku kwa 5000 peleka mjini uza 8000 utatoka muda tu.
Ukitaka biashara ya kukaa kama duka miezi mitatu mingi utarudi humu kutulaum
 
Usije Dar es Salaam kwa sasa maana unga kiloba ni 40000 subili kwanza mambo yakiwa fresh nitakushitua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…