Mndali ndanyelakakomu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 13,998
- 31,757
Mkuu mbona unacheka?[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] JF ina mambo sana....Siku ikitekwa nitaugua
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu mbona unacheka?[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] JF ina mambo sana....Siku ikitekwa nitaugua
Hata ukiwa na bilioni sita unaweza kugeuza ikawa pesa ya bia.Mkuu mbona unacheka?
Mkuu anae shangaa huyo anajua hela ya bia ina kiwango kumbe hata ukiwa na mabilioni unaweza kutenga kwaajili ya kunywea biaHata ukiwa na bilioni sita unaweza kugeuza ikawa pesa ya bia.
Hapo juu kuna mtu anashangaa laki tatu kuwa pesa ya bia (nimefurahia swali lako)
Kwani hela ya bia inatakiwa iwe kiasi gan
Ahsante ndugu kwa idea yako,nitaifanyia kazMtaji tosha kwa kuku wa kufuga na kuuza
Watu kama hao wapo kwa ajiri y kukatsha watu tamaa,Kwani hela ya bia inatakiwa iwe kiasi gan
Bora tumuulze pengne yy huwa anatmia hela km hyo kwa ajiri y bia2Kwani hela ya bia inatakiwa iwe kiasi gan
Mkuu unavyo ona majibu ya baadhi ya wana jf usichukie ila inatakiwa uyachukue yaliyo ya mhimu kwako maana wengne humu kula kitu wanachukulia mzahaBora tumuulze pengne yy huwa anatmia hela km hyo kwa ajiri y bia2
Labda simba vs mbaoKaribu kwenye uwekezaji wa biashara yetu pendwa ya betting na ndani ya wiki utakuwa milionea
Ni nini hizo?Njoo ununue garlic paste kwangu kwa jumla na uuze kwa bei ya reja![]()
DuhUsije Dar es Salaam kwa sasa maana unga kiloba ni 40000 subili kwanza mambo yakiwa fresh nitakushitua
kauze mikate na donat maeneo ya chuo cha MUM pale mida ya maghribi. utauza tu nakwambia...morogoro