jayleoncy112
Senior Member
- Jul 17, 2016
- 164
- 73
Ahsante sana, naomba utusaidie kudadavua sasa je laki 5 inatosha kwa mahindi au matikiti? na faida ikoje?Kwa kilimo cha matikiti na mahindi, kukodi shamba ni kuanzia shilingi elf 50_80, kwa ekari. Nipo mbeya
kweli kabisa tuchanganye mawazo ili tutoke woteMawazo yenu muhimu sana jaman
Nataka kujua iyo biashara ya vocha inakuaje maan Kuna mahali nimeiskia tena<br />
<br />
mkuu hyo biashara ya mikonon ndo me naitaka,nimeisha anza na vocha,naona haiko vibaya sana,so nataka kuzifanya za aina mbalimbali nctegemee ya aina moja tu.
Nikiona una laki natamani kweli kama ningeipata mimi maana nina bonge moja la idea la kuzalisha hata 1M ndani ya mwezi kwa kukuza mtajiJamani wana jf wazima? Vipi shughuli za kujenga taifa,
Samahani naomba kufahamu kwa wenzangu wenye upeo wa kibiashara, kwa jinsi uchumi ulipo sasa ni biashara gan? Naweza fanya kwa shilingi laki tatu (300000),
mhhhh moze kuwa mkweli...Nikiona una laki natamani kweli kama ningeipata mimi maana nina bonge moja la idea la kuzalisha hata 1M ndani ya mwezi kwa kukuza mtaji
Ni kweli Mkuu, yaani hapo ndo utaona penye miti hapana wajenzi. Ningeipata hata nusu yake tu i could turn into a million within a monthmhhhhh mo
mhhhh moze kuwa mkweli...
wengi wana maburungutu ya fedha first idea generation....Ni kweli Mkuu, yaani hapo ndo utaona penye miti hapana wajenzi. Ningeipata hata nusu yake tu i could turn into a million within a month
Kwani wewe uko wapi huwezi jua tunaweza kusaidianawengi wana maburungutu ya fedha first idea generation....
Si Ndio umuambie mwenzako Hapo. Ana yeye atengeneze hiyo milioniNi kweli Mkuu, yaani hapo ndo utaona penye miti hapana wajenzi. Ningeipata hata nusu yake tu i could turn into a million within a month
ngja tuchat pm...Kwani wewe uko wapi huwezi jua tunaweza kusaidiana
ahaaa idea kitu kinawatesa wengine tuna copiana na kugawana profit..Si Ndio umuambie mwenzako Hapo. Ana yeye atengeneze hiyo milioni
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...unataka ukabet wewe... Fanya kazi acha mawazo ayoNikiona una laki natamani kweli kama ningeipata mimi maana nina bonge moja la idea la kuzalisha hata 1M ndani ya mwezi kwa kukuza mtaji
Nipe hyo idea yako ambayo Unaweza kukuza 1m, km ipo wazi naweza kukuazima kiasiNikiona una laki natamani kweli kama ningeipata mimi maana nina bonge moja la idea la kuzalisha hata 1M ndani ya mwezi kwa kukuza mtaji
Nzuri ila nataka kwa hapahapa bongoNenda UG kachukue vitenge uje uume Dar
Uking"ang"ania bongo utatokaNzuri ila nataka kwa hapahapa bongo
Hata kama nikikupa itakuwa ngumu kwako kwasababu inategemea sana na mtandao wako wa watu wanaokuzunguka na wewe mwenyewe namna utakavyoifanya pamoja na mazingira yako. Kwahiyo kuapply kwangu haimaanishi inaweza kuapply kwa kila mtu labda kama baada ya kukupa nikupigishe na darasa kwanzaNipe hyo idea yako ambayo Unaweza kukuza 1m, km ipo wazi naweza kukuazima kiasi
Acha uongo na utapeli kijana...idea gani hiyo ambayo unashindwa kuiweka hapa...unajuaje watu wanaomzunguka yeye sio kama hao wanaokuzunguka....wewe ni mungu????Hata kama nikikupa itakuwa ngumu kwako kwasababu inategemea sana na mtandao wako wa watu wanaokuzunguka na wewe mwenyewe namna utakavyoifanya pamoja na mazingira yako. Kwahiyo kuapply kwangu haimaanishi inaweza kuapply kwa kila mtu labda kama baada ya kukupa nikupigishe na darasa kwanza