jayleoncy112
Senior Member
- Jul 17, 2016
- 164
- 73
Ahsante sana, naomba utusaidie kudadavua sasa je laki 5 inatosha kwa mahindi au matikiti? na faida ikoje?Kwa kilimo cha matikiti na mahindi, kukodi shamba ni kuanzia shilingi elf 50_80, kwa ekari. Nipo mbeya