Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

Habari wadau wa JF nipeni ushauri mana vyuma vimekaza mtaan. Nina laki 3 nataka kufanya biashara ambayo kwa mwezi itakuwa na return ya million moja. Nipo Moro kwa sasa ila nafanya biashara popote..
Kwa huu uchumi wa sasa forex is the only choice.... Tafuta nyuzi za ontario humu ziko kama tatu hivi pitia utapata mwanga...
 
Hii forex nimeisikiai ila bado cjaifahamu vizur. Ila ningepata elimu kidogo ya kuanzia ningeshiriki
Soma nyuzi za Ontario, google, youtubes n.k n.k about forex business.
 
Jaman na hako ka laki tatu unata ulalenako mbele mh!
 
Kuna uzi niliuona huku kwamba unalipwa kwa kuangalia matangazo mtandaoni, hivyo hiyo jiwe tatu nunua laptop alafu tafuta ule uzi upate maelekezo uanze kuingiza mijihela.
Hamna kitu kama hicho nilishajiunga na hio kitu lkn hamna lolote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…