Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

Kiukweli forex atapotea kama anakamtaji hako ka mbuzi
 
Nunua bunduki mkuu na kuwa jambazi.

Mana uwezi kuwekeza laki 3na kurudisha 1m kwa mwezi
 
m-pesa,airtel-money,togo-pesa nk
 
Wadau mbona wengi wenu hamjumuishi garama za pango au pa kuegeshea kbati la kuuza au bei ya kabati/ka fremu kenyewe ka chuma au mbao?
 
kacheze biko
 
Wale wanaojua ya nzega mjini au igunga mjini naomba ushauri nina sh. 500,000 naweza fanya biashara gani maeneo hayo ikanilipa vizuri
Anzisha kijiwe cha chips kama upo mjini ni maeneo yanayofaa huo mtaji ni mkubwa na kubaki
 
Wale wanaojua ya nzega mjini au igunga mjini naomba ushauri nina sh. 500,000 naweza fanya biashara gani maeneo hayo ikanilipa vizuri
Kama uko mjini sas hivi ni msimu wa vifaa vya shule unakaribia tafut eneo weka meza kweny maeneo ya machinga nunua counterbook, pen, pencil, sets, socks za shule, swaeter na shati za shule na begi ndogo za size ya watoto wa chekechea. Kwa huku mwanza maduka ya jumla ni mengi utapata kwa bei ndogo.
 
Nilianza network since 2015 till now nothing despite of working hard on them
networking marketing ukielezewa jinsi utakavyopata mamilioni unakua impressed sana.rudi kwenye uhalisiaa ndio utajua kwanini Kenge hana Manyoya,nili fail completely sitarudia tena
 
consmary....nimekupata vilivyo hii bishara nataka kuifanya soon, nishafanya research ya kupata ng'ombe walio konda, mnadani na gharama kweli nikama ulivyo sema 120000 hadi 100000 unapata, mi nimgeni huku kanda ya ziwa ila nimezunguka maeneo mengi sana[mkoa wa simiyu na musoma hasa bunda]hi furusa ni nzuri ukiwa na muda au msimamizi mzuri wa kulishaa mifungo.
 
Wakuu ni vema kila mdau akabainisha eneo alipo na fursa zilizopo lnawezekana kwa mtaji wa kuanzia laki moja hadi laki tisa unaweza jibanabana hadi eneo flan kuchangamkia fursa flani ukiona inalipa

Asanteni
 
Wakuu,

Kwa wale wenye uelewa wa biashara za kukupa tija maana kwa sasa hali halisi kwa pesa ngumu tusaidiane kwa wale wenye nia ya kuanzisha biashara kwa sasa nawasilisha. Nb; mtaji wa laki 4-5
 
Hey guys
Mi nina fedha kiasi cha shilling 500k nafklia ni biashara gan itakuwa suitable kwang
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…