Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

Ww hii kazi unaifanya au
Naifanya ndo maana nawaambia yote haya ...mm nmesajiliwa na maliasili so nna usajili wa kuleta kuni popote dar hta ka n harusini ....na hii kaz naifanya baada ya kuacha kaz ya ualimu mapema mwaka huu ....so nna waletea watu na huku me nna vijiwe vyangu
 
Saiz unakula tu hela ualimu umesahau kabisa, saf sana mwalimu
 
Haha kawaida tu ...naipenda sana kufundsha .....nkifkisha vijiwe vitano ntarud kufundsha nmemiss chak mda sasa
Eeeeh kuna swali vipi kuhusu, gharama za Mzigo, usafiri, kupakia na kushusha ama ndio hiyo bei uliyo weka
 
Eeeeh kuna swali vipi kuhusu, gharama za Mzigo, usafiri, kupakia na kushusha ama ndio hiyo bei uliyo weka
Yah mzgo wa fuso kubwa n milion lak 8..had 9 ..itategemea uko wap

Kenta mita za ujazo 15 milion lak mbili ...kun 1700

Kenta mita za ujazo 12, milion ....

Kushusha n juu ya mteja
 
kumbe wewe hufanyi biashara hii bali watu uliowakodisha.... nikajua ni wewe.
Naifanya biashara hii ndo maana naongea yote hayo ...nawaletea wauzaji wa jumla dar na nna vijiwe vyang nauza rejareja .........eneo nmekodisha baada ya kuombwa nikodshe so walinlipa hela yang ya mwez nnayopta faida ktk eneo lang
 
Biashara ya kuni imekuwa mkombozi kwa watu weng ...japo watu weng bdo hawajaifahamu ...fikiria kwa mtaj wa milion mbili ...faida n hio milion mbili ndan ya wiki tatu au kabla ya hapo unaipata .....

Advantage ya bsness hii haiharbk na kuathirika kwa chochote ..........tafta watu weny usajili ka mm wakuletee mzgo then uone maisha yko yatakavobadlka ..mung akipenda
 
Mkuu kuna gharama gani kupata vibali?
 
Guest/danguro.
Kijiwe cha supu....kongoro....mkia....ulimi...ipatikane 24/7 unaweza kuweka ndan ya bar..
Choma kitomoto pika ugali.
Wauzie matunda walevi wanapenda sana
 
Guest/danguro.
Kijiwe cha supu....kongoro....mkia....ulimi...ipatikane 24/7 unaweza kuweka ndan ya bar..
Choma kitomoto pika ugali.
Wauzie matunda walevi wanapenda sana.
M-PESA ni nzuri maana watapeleza ela watakuja.
Huduma ya tax bajaj bodaboda....
 
Yah mzgo wa fuso kubwa n milion lak 8..had 9 ..itategemea uko wap

Kenta mita za ujazo 15 milion lak mbili ...kun 1700

Kenta mita za ujazo 12, milion ....

Kushusha n juu ya mteja
Kiongozi samahani, mimi nataka kujua gharama za ushuru zikoje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…